Kwani unapinga kuwa Rais hakuasisi 4R?
Kwani mnashindana na nani?October tuna ✅️
Mjadala uhitimishwe..!!Mm mwenyewe natamani CCM na CHADEMA wafike muafaka! Mwisho wa siku hii nchi ni yetu sote na tunajenga nyumba moja. Hii vita ya kugombea fito haitusaidii
October tuna ✅️. Period.Kwani mnashindana na nani?
Hata msipotiki bado mwisho wa siku Chura Kiziwi atatangazwa mshindi.