Uchaguzi 2020 CHADEMA bado tishio kubwa Uchaguzi Mkuu

Uchaguzi 2020 CHADEMA bado tishio kubwa Uchaguzi Mkuu

Ukweli bado Ni mchungu, Chadema bado tishio uchaguzi mkuu. Kuna dalili kuu nyingi kwamba CCM wanaingiwa hofu kwa jina la Chadema.

Viongozi wa Chadema hawaruhusiwi kuongea na wakiongea utawasikia polisi wakiwaita au kukataliwa kabisa kuongea. Hii Ni hofu kubwa kwa CCM na serikali yake. Ukifuatilia mienendo na hukumu za vyesi vyao bado utagundua Ni kutokana na hofu ya kuwapora madaraka CCM.

Sehemu nyingine Ni kampeni ya mapema ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu. CCM imetumia vyama jukwaa la siasa takribani miaka yote 5 hii kujinadi kutoa ahadi kupitia kwa mwenyekiti wao.

Pia mazingira ya hamahama kwa wabunge wa upinzani na figisu kufanyika kuwarudisha wabunge walewale kwa kuminya uchaguzi kuwatangaza kwa lazima Ni dalili tosha kuwa CCM haiwawezi Chadema kwenye chaguzi huru.

Polisi na wakurugenzi ambao pia Ni makada ya chama wamehakikisha wanavuruga chaguzi za marudio ili kuwapa CCM ushindi.

Mahala pengine wakuu wa usslama polisi wsmesikika wskijinadi kuwa chama pekee Ni CCM bila kuchukuliwa hatua. Hii Ni pamoja na kuwabambikia wafuasi wa Chadema vyesi na kuwaweka ndani na kuwanyima dhamana.

Mambo Ni mengi Ila kipenga kitakapopulizwa na uwanja kuwa bila miiba Basi CCM inaweza kuondoka. Kikubwa Ni utulivu na haki itendeke.
Uko sahihi 💯 mkuu na huko tunako elekea tuombe Mungu akatupe wepesi was kuchambua pumba na mchele ,tuna just Kama Kuna mazuri yamefanyika na Kuna mabaya yamefanyika hivyo tungependa kuona vyombo vya usalama basa polisi wawalinde wananchi badala ya kuwavuruga
 
Sure, usiku mmoja unatosha kubadilisha kila kitu
 
Kabisa

Chadema i deal na raia ambao wamekipotezea sio CCM

Najua unajua mpaka sasa CDM can talk ...haina ubishi, kama 2015 haikuwa, haiji tena
Bilion 12 alizokula Ndungai peke yake CCM

Pia mtaulizwa issue za 8.9bn ambayo kubali ukweli huu mchungu pia, unless wewe ni mnufaika

Endelea kuota

Najua ni ngumu kuamini
Raia wapi wamekipotezea? Kwani Raia hawajui zilipotea Tilion 1.5 kisha CAG akatolewa kafara, Raia wanajua Ndungai alipiga bilion 12 peke yake akiwa India, wanajua zilipotea bilion 252 wizara ya ujenzi kienyeji na wanajua habari za kivuko cha Dsm-Bagamoyo wanajua 10% ujenzi wa flyover, bwawa la umeme, Reli, chato Airport na michongo kibao ya CCM, watanzania siyo wajinga kiasi unachofikiri wanajua vitu vingi sana lakini wameamua kuwa wavumilivu ingawa uvumilivu huwa na mwisho wake.
 
Kabisa

Chadema i deal na raia ambao wamekipotezea sio CCM

Najua unajua mpaka sasa CDM can talk ...haina ubishi, kama 2015 haikuwa, haiji tena

Pia mtaulizwa issue za 8.9bn ambayo kubali ukweli huu mchungu pia, unless wewe ni mnufaika

Endelea kuota

Najua ni ngumu kuamini

Hao wananchi ni viazi waache kuuliza 1.5t waulize hela ya juice ya Azam?
 
Sure, usiku mmoja unatosha kubadilisha kila kitu
Kenya , Zambia, Malawi, Ghana, Gambia, Congo walikuwa na vyama vyenye mbinu za uchakachuaji kama ilivyo CCM ya sasa lakini uchakachuaji ulifika mahala ukakwama na upinzani kuingia madarakani, hakuna mabaya yasiyo na mwisho, ipo siku mbinu za uonevu uovu wa CCM zitakwama na utakuwa mwisho wa CCM.
 
Hao wananchi ni viazi waache kuuliza 1.5t waulize hela ya juice ya Azam?
Raia wanajua mchongo wa ununuzi Ndege kwa cash ulivyo na 10% za wajanja wachache, wananchi wanajua vingi kiliko CCM wanavyofikiria
 
Hivi kama ndani ya hicho Chama wenyewe kwa wenyewe tu ' Wanakataana ' na ' Kusalitiana ' utasema kweli kuwa CHADEMA ni Tishio kwa CCM?
Ununuzi wa wapinzani unaofanywa na CCM ndiyo unaivuruga chadema, kama siyo CCM kutumia pesa za viwanda pesa za maendeleo kuidhoofisha chadema leo hii Taifa lingekuwa lina maendeleo kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inatumika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali.
 
Raia wanajua mchongo wa ununuzi Ndege kwa cash ulivyo na 10% za wajanja wachache, wananchi wanajua vingi kiliko CCM wanavyofikiria

Na ndio maana ccm haitaki kabisa cdm iendelee kuwepo, maana inawaamsha waliolala.
 
Sasa yale maneno yenu kwamba Mbowe akiachia uenyekiti chadema inakufa huwa mnatoa wapi.?

Mwagito unafeli wapi? Kusoma hujui hata picha huoni?
Acheni wananchi wenyewe ndiyo waamue kwani wao hawana shida na Uenyekiti wa mbowe, cha ajabu CCM ndiyo wanahaha na kumhujumu mbowe
 
Kinachoishi kinajulikana

Ebu taja top layer ya CDM kwa sas
Msiwafanye watu wajinga, hamkuwa na tabia ya kuwaonya viongozi wenu, wamepiga hela na hawana uchungu huo ambao wewe mbunyu unao

We all once loved it

Mbowe kawa kichekesho
Hebu nawe ndugu taja top layer ya CCM bila ya kutumia vitisho pamoja na mabavu ya jeshi la Polisi
 
CCM inalazimisha kupendwa kwa nguvu ikijinadi kwa kuketa maendeleo utazani ni pesa za CCM binafsi toka mfukoni mwao, CCM Tambuaeni kuwa pesa za maendeleo ni pesa za walipa kodi na maendeleo ni haki ya watanzania siyo Hisani ya CCM.
 
Nchi ina miaka zaidi ya 50 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko hata America, German na hata South Africa, CCM imedumaza maendeleo kwa kuchukua pesa za walipa kodi kulitumia kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo, kwa mfano pesa inayotumika sasa kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda, Hosptal za rufaa kubwa kila mkoa, kujenga vyuo vikuu kila mkoa, viwanja vya soka kila wilaya, kujenga daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba na pia kujenga daraja toka mwanza mpaka ukerewe na ukara, kujenga barabara za kiwango toka rukwa Tabora kigoma na sehemu zingine zenye miundo mbinu mibovu, CCM wapo busy kuihujumu chadema na madalali wa siasa huko CCM wameigeuza chadema kisingizio cha kupiga pesa kupitia ununuzi wa madiwani wabunge na wanachama wa chadema, kwa CCM ya sasa ni vigumu Taifa la Tanzania kupata maendeleo ya kweli.
 
Kinachoishi kinajulikana

Ebu taja top layer ya CDM kwa sas
Msiwafanye watu wajinga, hamkuwa na tabia ya kuwaonya viongozi wenu, wamepiga hela na hawana uchungu huo ambao wewe mbunyu unao

We all once loved it

Mbowe kawa kichekesho
chadema ni msingi na msingi ni wananchi we endelea kusubiri top layer
 
Ukweli bado Ni mchungu, Chadema bado tishio uchaguzi mkuu. Kuna dalili kuu nyingi kwamba CCM wanaingiwa hofu kwa jina la Chadema.

Viongozi wa Chadema hawaruhusiwi kuongea na wakiongea utawasikia polisi wakiwaita au kukataliwa kabisa kuongea. Hii Ni hofu kubwa kwa CCM na serikali yake. Ukifuatilia mienendo na hukumu za vyesi vyao bado utagundua Ni kutokana na hofu ya kuwapora madaraka CCM.

Sehemu nyingine Ni kampeni ya mapema ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu. CCM imetumia vyama jukwaa la siasa takribani miaka yote 5 hii kujinadi kutoa ahadi kupitia kwa mwenyekiti wao.

Pia mazingira ya hamahama kwa wabunge wa upinzani na figisu kufanyika kuwarudisha wabunge walewale kwa kuminya uchaguzi kuwatangaza kwa lazima Ni dalili tosha kuwa CCM haiwawezi Chadema kwenye chaguzi huru.

Polisi na wakurugenzi ambao pia Ni makada ya chama wamehakikisha wanavuruga chaguzi za marudio ili kuwapa CCM ushindi.

Mahala pengine wakuu wa usslama polisi wsmesikika wskijinadi kuwa chama pekee Ni CCM bila kuchukuliwa hatua. Hii Ni pamoja na kuwabambikia wafuasi wa Chadema vyesi na kuwaweka ndani na kuwanyima dhamana.

Mambo Ni mengi Ila kipenga kitakapopulizwa na uwanja kuwa bila miiba Basi CCM inaweza kuondoka. Kikubwa Ni utulivu na haki itendeke.
MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA

POLE SANA
 
Kamanda naona Unaota Mchana badala ya Usiku. Chama cha Mapinduzi kwa sasa hakina Mpinzani Tanzania.

Mwenye macho haambiwi tazama kwa kazi Ndugu Magufuli aliyoifanya kwa Miaka 5

Ni Mjinga tu Atabisha na kushabikia Chadema.

Chadema hakina uwezo wa kuongoza nchi hii wala Maendeleo makubwa yaliyofanywa na Magufuli chadema hata wangepewa Miaka 100 wasingeweza.

Sasa nyie msiojielewa Endeleeni kushangilia na kushabikia chama kinacho wadanganya kwamba Chama cha siasa ndio kinaweza kukutajirisha.

Hivyo wewe ukiwa fukara ni CCM. Ukiwa huna ela Mfukoni ni CCM. Ukushindwa kuhudumia familia yako ni sababu ya CCM.

Nawahakikishia hata mkienda kuishi Marekani kwenye Demokrasia mnayoitaka mtakuwa mafukara tena wakutupwa kabisa.

Hakuna Chama Dunia kinachotajirisha watu kama niwa vivu wa kuchapa kazi na kukaa vijiweni.

Mmarekani Atakuja Tanzania atatajirikia hapa hapa katikati ya watu wanaolalamikia serikali ya CCM na wavivu wa kufikiria.
 
Hii Kali sana
Akili ni zankuzaliwa nazo, elimu ni mafundisho tuu, hata Panya anafungishwa na anafanya miujiza.

Chadema kina pambana na ACT,CCM,CUF na NCCR, kwani wote hao wanaweka wagombea kila jimbo. Ni kama CCM nao wanavyoshinda na kila chama kuhakikisha kila jimbo wanashinda.

Hii ya wewe kuiona Chadema inapigwa vita pekee ni ubovu wa mawazo. Pia ukae ukijua ccm, NCCR na CUF ndio vyama vikongwe zaidi cha Chadema, kwa hivyo CDM walikuja kuingia kwenye kinyang'anyiro cha wabunge nyuma kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom