Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Wewe umewachangia ngapi?

Chawa wa Mbowe hujapona sonona bado
 
Mzee Ngongo katika hizo 1.9M umechanga kiasi gani?

Waambie walete paybill tutachanga haina tatizo , kuliko pesa za rushwa kutoka kwa Abdul na wapambe wake.
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Dada Joyce Mukya bado una sonona ya danga lako kushindwa? Mbona Mr. wako mwenyewe amekubali yaishe?
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Nilisema kable ya uchaguzi kuwa itakapofika April watu wengi watamtafuta Mbowe yupo wapi na kwa sasa Mbowe hataki kusumbuliwa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.

Mkuu tulishavunja kambi za uchaguzi...huo mchango umeombwa lini?
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Lisu alivyo bahlili hapa atakuwa hajachangia hata elfu 10
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Utapata tabu sana mwaka huu.
 
Hapo kwenye hela Lissu awe na mikakati kweli kweli. Tumseme Mbowe kwa yote ila chama alikuwa anakibeba kifedha.

Kipindi Dr. Slaa anagombea uraisi na Mbowe ndio kampeni meneja, chopa ilichelewa kuruka toka Tunduma kwenda Sumbawanga kisa mafuta. Tuliambiwa wazi kwamba pesa ya wese alikuwa akitoa Mbowe chama kilikuwa hakina fedha sio tuu za kuendesha kampeni hadi mabango, alikuwa anatoa pesa mbowe. Kuna kipindi CDM walikuwa wakishona bendera kwa mafundi cherehani. Bendera hakuna, kadi hamna na bango hamna nchi nzima. Ukienda kuchukua kadi wilayani unaandikwa kwenye daftari kusubiri kadi mpaka zije. Hiki chama Mbowe kakitoa mbali, tuendelee kumshukuru.

Ni kweli Mbowe aling'ang'ania madaraka ila fedha alikuwa akitoa za kwake kufadhili chama. Kitu ambacho Lissu kitampa changamoto sio kidogo.
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Wazee wa mastori, umbea ,udaku.

Mpeni lissu muda jmn, najua hamkutaka ashinde ila ndio mapenz ya Mungu
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Wewe ni mweka hazina au msemaji wa hicho chama
 
Hatutaki pesa chafu. Wacha tujikongoje na kidogo kinachopatikana kihalali na chenye baraka za Mungu. Tutafika tu.
 
ambayo inasimamiwa na kushauriwa na wabunge 🐒
Huo ni wajibu wa serikali nawajibu wa wananchi ni kulipa kodi , ni sawa na uahidi kumpelekea mtoto shule wakati ni jukumu la mzazi na la mtoto ni kusoma , nyie wabunge wanamna hiyo mlipaswa muwe sero asee, hiyo ni rushwa kama rushwa zingine tu.
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Acha kamdomo ,chadema inawezaje kosa pesa? Ichi chama ni cha wanachama na wanachama hawawezi shindwa kukipa mapesa chama.

Hii sio ccm ambayo imejibanza kwenye Mgongo wa Mwenyekiti wao ambae ni Rais , na mapambio kibao huku wakifisadi nchi , katika kivuli cha ruzuku.

Leo hakuna mwana ccm yeyote utamwambia achangie chama elfu kumi akakuelewa , wameishazoeshwa lushiwa elfu 10, 5 ,kanga ,kofia , basi na wawekee wimbo ule wa ccm ni ileile uangalie kivumbi
 
Back
Top Bottom