Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Nyie kila jambo baya dhidi ya taifa letu mnaona ni zuri na mnafurahia na kukenua meno. Hii ni kasumba mbaya sana na kukosa utu na uzalendo.
Taifa stars ikifungwa mnakenua meno, majanga ya kila namna yakitokea mnakenua meno.
Yametokea hapo K' nondoni mnafurahia na kopost furaha zenu kana kwamba yaliyotea ni mazuri.
Mnadai kuna dhuluma za kisiasa ndio maana mmelichukia taifa lenu. Kama kuna dhuluma za kisiasa kwa nini mmekuwa mnashiriki uchaguzi kwa miaka ishirini? Na mkipata wabunge mnafurahi na kukaa kimya. Kisa tu mnapata ruzuku na michango.
Mwaka jana kubwagwa chini kama pipa tupu ndio sababu ya kulichukia taifa lenu?
Acheni chuki zisizo na mashiko kisa tu mlikosa wabunge ambao ni chanzo cha mapato hapo Chadema ya kinondoni.