Naam Naam, yanayofanywa na CHADEMA kwa ajili ya Watanzania ndio uandishi wenyewe, utaishi vizazi kwa vizazi. Soon naiona CCM ikifa mara ya mwishoHii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutka. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed i history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Yaani chadma wamepigana vita kubwa kuliko hata vita kina Nyerere na kina mkwawa waliyopigana kuondowa wakoloni. Ukoloni wa ccm ni mabaya kuliko hata wa makaburu wa SA.Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
Wewe msagaji tuondolee upuuzi wako hapa tunaongea mambo ya Tanganyika koma kabisa.Wazo zuri sana hili. Naliunga mkono. Wamcheki wanahistoria mzee Mohamed Said awaandikie historia ila nao wawe tayari kuona majina ya Sykes na Al Jamitul Islamiya yakitajwa humo. Ila lazima pia tukio muhimu la CHADEMA kujipiga bomu kwenye mkutano wake Soweto, Arusha ili kupata kiki ya kisiasa liandikwe kwenye hicho kitabu cha historia.
Sometimes huwa unaficha ujinga , di lazima kila myu ajuw una upumbav kivhwanWazo zuri sana hili. Naliunga mkono. Wamcheki wanahistoria mzee Mohamed Said awaandikie historia ila nao wawe tayari kuona majina ya Sykes na Al Jamitul Islamiya yakitajwa humo. Ila lazima pia tukio muhimu la CHADEMA kujipiga bomu kwenye mkutano wake Soweto, Arusha ili kupata kiki ya kisiasa liandikwe kwenye hicho kitabu cha historia.
Lissu na wafuasi wake wa chadema chakavu kwa sasa hawatoruhusu sababu humo ndani italazimu kutajwa sana Mbowe........kwa Sasa hawataki Mbowe atajwe, isipokuwa kwa mabaya pekee na uzushi.Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective.
Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book