CHADEMA/DINI Mbeya, Mficheni Mzee alofichua Siri polisi ya kumtuma awasaidie Makazi ya Mdude

1746207277763.png
 
Huu ni Ushauri tu Huyu Mzee hatakiwi kua Mikononi mwa Jeshi la hao wahuni wa Tanzania.

Wakimchukua, watamfanya asionekane, alafu wataanza kutoa matamko kama wendawazimu japo hata matamko yao yamekaa kipuuzi puuzi !!.
Kweli kabisa. Ni shahidi muhimu sana.
 
Huu ni Ushauri tu Huyu Mzee hatakiwi kua Mikononi mwa Jeshi la hao wahuni wa Tanzania.

Wakimchukua, watamfanya asionekane, alafu wataanza kutoa matamko kama wendawazimu japo hata matamko yao yamekaa kipuuzi puuzi !!.
Nimeweka wakafuta , hawako na sisi
 
Attachments

  • mdude.mp4
    6.1 MB
Namna pekee ya kuyasalimisha maisha yake ni kumhamisha kutika kwenye makazi yake, hata hivyo polisi watamfuatilia kupitia kwa majirani zake.
 
Back
Top Bottom