Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.
Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.
Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.
Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.