CHADEMA, Dkt. Bashiru anafanya kazi yenu lakini mlivyo mazuzu hata hamuoni!

Hauna fikira huru, unafikiri kivyamavyama ndiyo maana unaassume nilishangilia ubaya waliotendewa CDM. Tutajadili ukiwa huru, zaidi ya hapo itakuwa kama ushabiki wa Simba na Yanga.

Wewe ndio haupo huru acha kunisemea. Umeita CHADEMA mazuzu bila kuangalia mazingira yao ya siasa. Unataka mtu akimbue kwa spidi wakati kavunjika mguu?
 
Chadema wameshakuwa waimba mapambio na walamba asali siku nyingi unawategemea watusemee sisi wakulima saa ngapi? Chadema ya kusemea maslahi ya wananchi aliondoka nayo Dr Slaa, hii ya sasa hivi ni waganga njaa tu kama wengine.

Pambio ipi wameimba?. Lini CHADEMA imeimba pambio ya kumsifu huyo Samiah wenu. Naona Bashiru kawashinda mmeamua kuhamia kwa CHADEMA. Hamtaiweza kamwe.
 
Mangi pesa mbele Yuko kazini unadhani anakupenda. Tena akaambiwa katiba mpaka 9 yrs wanatafuta maoni

Ndio mlichobakiza. Wakati anaharibiwa shamba mlifurahia, alipofungiwa gazeti lake mlifurahia, aliposhambuuliwa mlifurahia, alipopewa kesi ya akwilina mlifurahia na alipopewa kesi ya ugaidi mkafurahi zaidi.

Leo mnapata wapi nguvu ya kumsema Mbowe?. Punguza unafiki.
 
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.

Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.

Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.

Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.

Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Nyanoko onoko
.zerolism
 
Kiukweli tusiwasingizie chadema.
Jamaa wanajitahidi sana kusema shida za wanachi kadri wanavyopata nafasi..ingawa kwa sasa Dj kapewa buyu la asali katulia.

#MaendeleoHayanaChama
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!

Kisha wanahamia Club House usiku kupiga Porojo!
 
Ni kawaida ya waoga kutafuta wa kulaumu ili wasishughulikiwe na mkosaji mwenye mabavu. Badala ya kusema Chadema anasemewa, unashindwa kusema Bashiru yuko sahihi na Serikali inakosolewa kwa usahihi. Unaiogopa serikali!!!

Ni aina hii ya wananchi wa hovyo ndio shida ya nchi hii. Swala la kuona ubaya au uzuri wa kitu halipaswi kuwa na mtazamo ya kisiasa. Kukosekana kwa umeme, hali mbaya ya ajira, bei juu za mahitaji muhimu ni FACTS zisizohitaji uelewa unaoongozwa na siasa, dini, jinsia au rangi!!

Ukiondoa Bashiru na Chadema, nini mtazamo wako?? Acha kuona mambo kwa mitazamo ya wengine. Anza kuona mambo kwa mtazamo wako mwenyewe!! Wewe ni kielelezo cha kwanini ni rahisi wanasiasa kuchezea akili za wapigakura!!!
Hoja nzuri.
 
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.

Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.

Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.

Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.

Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Hadi Sasa hivi sijaona hoja ya Bashiru yenye tija kwa wakulima au hoja ambayo wakulima.qanaweza kwenda nayo kutoka kwa Bashiru..

Alisema Kuna unyonyaji Sasa hii Ni neno la jumla jumla na kuanza kutoa ushauri uchwara kwao usiokuwa na maana..

Chadomo hawanaga Sera zozote zaidi ya kudakia matukio..Wewe umewahinsikia Chadomo wakizungumzia wakulima?

Ni act tuu ndio wanaweza kuja na njia mbadala.
 
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Umesahau kuwa CCM wamekataza vyama vingine visifanye mikutano? Au unajitoa ufahamu?
 
Wewe ndio haupo huru acha kunisemea. Umeita CHADEMA mazuzu bila kuangalia mazingira yao ya siasa. Unataka mtu akimbue kwa spidi wakati kavunjika mguu?
Wewe ndiyo unanisemea, wapi uliona na shangilia kwa CDM kuteswa? Unajadili mambo kishabikishabiki.
 
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!

Kisha wanahamia Club House usiku kupiga Porojo!

Acha uongo alienda mahakamani ni Nani?
 
Na vyama navyo vikakubali? Vyama kama hivyo havifai kupewa madaraka.

Umesahau UKUTA kipindi Cha Magufuli kupinga hilo katazo?. Mpaka JWTZ wakaingilia ndani, unadhani ilikuwa Jambo. Serikali ilikuwa tayari kuua yeyote ambaye angefanya hiyo mikutano. Usiwe mwepesi wa kusahau. Serikali ilipambamana na CHADEMA vilivyo Hadi mikutano ya ndani polisi walivamia.
 
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!

Kisha wanahamia Club House usiku kupiga Porojo!

Uichague CCM kwa majigambo halafu wale pesas za ufisadi halafu mzigo wa kero za wananchi wabebe CHADEMA wasiokuwa na serikali au wabunge bungeni.
 
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.

Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.

Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.

Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.

Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Pumbavu zako, kazi gani? huyu alihudumu katika nafasi nyeti kwa maguduli ambaye amewaua/amewafunga/amewatesa wana Chadema wengi. He is an accomplice, Utaonaje muuaji kama huyo! They have their own means to address issues of their concern!
 
Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.

Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.

Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.

Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.

Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
serious Bashiru afanye kazi za CHADEMA?
Huyu akiwa katibu mkuu wa ccm, alinunua wabunge wa CDM waliochaguliwa na wananchi kihalali kabisa. akawapa maburungutu ya pesa, wakahamia ccm kwa kilichoitwa 'KUUNGA MKONO JUHUDI' Leo anakataza watu kusema 'ANAUPIGA MWINGI'. Kisha akawarudisha kugombea kwenye majimbo yaleyale, chanzo (Raia mwema, leo)
leo Bashiru afanye kazi za CDM?
atwambie alikuwa wapi wakati wakulima wa KOROSHO wanaporwa korosho zao?
wakati wafanyakazi wanakaa miaka 5 bila kuongezewa mishahara alikuwa wapi?
CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi mbona ana uchungu sana na wakulima kuliko wafanyakazi na kwann sasa? alimaanisha nini? hao wanyonyaji ni kina nani? wapo wapi?
 
Back
Top Bottom