Hauna fikira huru, unafikiri kivyamavyama ndiyo maana unaassume nilishangilia ubaya waliotendewa CDM. Tutajadili ukiwa huru, zaidi ya hapo itakuwa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Chadema wameshakuwa waimba mapambio na walamba asali siku nyingi unawategemea watusemee sisi wakulima saa ngapi? Chadema ya kusemea maslahi ya wananchi aliondoka nayo Dr Slaa, hii ya sasa hivi ni waganga njaa tu kama wengine.
Mangi pesa mbele Yuko kazini unadhani anakupenda. Tena akaambiwa katiba mpaka 9 yrs wanatafuta maoni
Nyanoko onokoMoja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.
Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.
Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.
Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Unajua nani alianzisha msemo wa mama anaupiga mwingi?Pambio ipi wameimba?
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!Kiukweli tusiwasingizie chadema.
Jamaa wanajitahidi sana kusema shida za wanachi kadri wanavyopata nafasi..ingawa kwa sasa Dj kapewa buyu la asali katulia.
#MaendeleoHayanaChama
Hoja nzuri.Ni kawaida ya waoga kutafuta wa kulaumu ili wasishughulikiwe na mkosaji mwenye mabavu. Badala ya kusema Chadema anasemewa, unashindwa kusema Bashiru yuko sahihi na Serikali inakosolewa kwa usahihi. Unaiogopa serikali!!!
Ni aina hii ya wananchi wa hovyo ndio shida ya nchi hii. Swala la kuona ubaya au uzuri wa kitu halipaswi kuwa na mtazamo ya kisiasa. Kukosekana kwa umeme, hali mbaya ya ajira, bei juu za mahitaji muhimu ni FACTS zisizohitaji uelewa unaoongozwa na siasa, dini, jinsia au rangi!!
Ukiondoa Bashiru na Chadema, nini mtazamo wako?? Acha kuona mambo kwa mitazamo ya wengine. Anza kuona mambo kwa mtazamo wako mwenyewe!! Wewe ni kielelezo cha kwanini ni rahisi wanasiasa kuchezea akili za wapigakura!!!
Hadi Sasa hivi sijaona hoja ya Bashiru yenye tija kwa wakulima au hoja ambayo wakulima.qanaweza kwenda nayo kutoka kwa Bashiru..Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.
Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.
Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.
Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Umesahau kuwa CCM wamekataza vyama vingine visifanye mikutano? Au unajitoa ufahamu?Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
Wewe ndiyo unanisemea, wapi uliona na shangilia kwa CDM kuteswa? Unajadili mambo kishabikishabiki.Wewe ndio haupo huru acha kunisemea. Umeita CHADEMA mazuzu bila kuangalia mazingira yao ya siasa. Unataka mtu akimbue kwa spidi wakati kavunjika mguu?
Na vyama navyo vikakubali? Vyama kama hivyo havifai kupewa madaraka.Umesahau kuwa CCM wamekataza vyama vingine visifanye mikutano? Au unajitoa ufahamu?
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!
Kisha wanahamia Club House usiku kupiga Porojo!
Na vyama navyo vikakubali? Vyama kama hivyo havifai kupewa madaraka.
Wewe ndiyo unanisemea, wapi uliona na shangilia kwa CDM kuteswa? Unajadili mambo kishabikishabiki.
Wewe ndiyo unanisemea, wapi uliona na shangilia kwa CDM kuteswa? Unajadili mambo kishabikishabiki.
Tangu Uchaguzi wa 2020,sijawahi msikia kiongozi wa Chadema akiongelea Kero rasmi za wananchi zaidi utawasikia wakigombani ule ubunge 19 wa vitu maalumu!
Kisha wanahamia Club House usiku kupiga Porojo!
Niwekee hapa.Usijifanye kubadilika, historia ipo na kumbukumbu zipo.
Pumbavu zako, kazi gani? huyu alihudumu katika nafasi nyeti kwa maguduli ambaye amewaua/amewafunga/amewatesa wana Chadema wengi. He is an accomplice, Utaonaje muuaji kama huyo! They have their own means to address issues of their concern!Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.
Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.
Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.
Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
serious Bashiru afanye kazi za CHADEMA?Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa.
Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi.
Kwa jinsi wakulima wanavyonyonywa nchi hii, tulitegemea mpaka sasa wengi wao wawe wanaielewa CDM, lakini ni kinyume chake, wakulima maskini wa vijijini bado ni ngome kubwa ya CCM.
Bashiru amefanya kazi yenu. Jinsi ambavyo wanaCCM wamekurupuka kujibu ndivyo manatakiwa kuwafanya kila siku. Wasikae wakapumua.
Muache kushabikia wanaCCM wanavyotupiana madongo, hao wamejipanga vizuri sana na mambo yao. Sakata la Bashiru liwakumbushe kazi yenu.
🙄Na vyama navyo vikakubali? Vyama kama hivyo havifai kupewa madaraka.