CHADEMA, either kwa makusudi au kwa kutotambua, wamepoteza leverage

CHADEMA, either kwa makusudi au kwa kutotambua, wamepoteza leverage

Kalamu ya Mwananchi

Senior Member
Joined
Oct 27, 2020
Posts
100
Reaction score
552
Last time niliandika thread: Je tuna wanasiasa wanaopigania demokrasia au wako kwaajili ya kujinufaisha wenyewe.


Pamoja na kuwa CCM 'wameshinda ushindi wa kishindo', ila kutokana na kuoverlook baadhi ya mambo, wakajikuta wameipatia CHADEMA leverage ambayo hawakuitegemea.

Na hili liliwaumiza sana kichwa.

Kwa mazingira yaliyopo nchini ambapo upinzani uko attacked kutoka kila angle, leverage kama hii ya viti maalam ingetumiwa effectively ingeleta damage to CCM.

Ndo maana kila kukicha CCM na mashabiki wao wakawa wanawaconvince wapinzani kupeleka wabunge wa viti maalum.

Unapokuwa kwenye mpambano mkali na adui yako akadondosha kisu, hujifikirii mara mbili, unakiokota na kukitumia ipasavyo.

Sakata la viti maalum was a weapon, kutopeleka watu bungeni kupitia viti maalum ilikuwa leverage kubwa kwa CHADEMA dhidi ya CCM.
Ni wao tu ilibaki kuitumia effectively kuleta damage.

Hili la watu kwenda bungeni kuapa kwajili ya viti maalumu, litai-pacify and neutralize CHADEMA for the next years.

Kama kuna watu kati yao walitumika kufanya hujuma, basi washughulikiwe ipasavyo, lasivyo chama kinazidi kupoteza credibilty.
Lakini kama ni maamuzi ya chama na kimeridhia basi wanapoteza imani ya wanachama.

Je is this the beginning of the end kwa CHADEMA?

Macho tuelekezee kwa ACT kule Zanzibar sasa, na wao watafuata nyayo kama za wenzao au?
 
Hahahaaa weeweee haya maisha ww yan mtu aache maposho kama yale kwa ujinga gani? Au kwakua ww haumo?? Moyo wa kukataa hela kwa kizazi hiki hakipo kabisaaa...we lete mada ingine sio ya kukataa hela
 
I know kweli Chadema wangepata mailage kwa kukataa lakini kwa nini wajitese wakati wananchi bado kabisa kuelewa mambo??
Wakati wasiostahili Kawa Gwaji boyi wanakula kodi zetu??
 
Kama mataifa ya wahisani hawatatumia nafasi yao kushinikiza nchi hii ipate katiba mpya yenye ku-guarantee demokrasia na haki, basi tusahau kabisa kitu uchaguzi ktk nchi hii.

Magufuli and Co wataendelea kuwageuza wananchi wa Tanzania farasi 🐎 na wenyewe waendeshaji kwa muda mrefu ujao.
 
Kwa nini watu wanawalaumu Chadema badala ya kuwalaumu wezi wa kura! Ama ni woga??
Na kwanini muombe watu waingie barabarani wakati mwisho wa siku wenyewe mtaenda kuapishwa
 
I blame the educated Tanzanians, newsmen and former leaders for keeping quiet about all that is going on! Ccm should be thankful that Chadema conceded! Embarassment ya mwaka!
It is as if we have not been to school! No one with integrity in ccm except Mzee Warioba! Shame on them!
 
Kama mataifa ya wahisani hawatatumia nafasi yao kushinikiza nchi hii ipate katiba mpya yenye ku-guarantee demokrasia na haki, basi tusahau kabisa kitu uchaguzi ktk nchi hii.

Magufuli and Co wataendelea kuwageuza wananchi wa Tanzania farasi [emoji237] na wenyewe waendeshaji kwa muda mrefu ujao.
Muhisani gani atakubal kuwasaidia watu ambao wenyewe hawana msimamo na awaeleweki leo ili kesho wanaunga juhudi, kilichobaki ni kuwa wote ccm basi
 
Nadhani ni wakati wa Tundu Lissu kuanzisha chama kipya, i feel Chadema imefeli kuanzia sasa kama chama (unless waje na maamuzi magumu), tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
 
Sitaki kusikia tena hiki chama.

Kuanzia leo

1.sitakuwa na chama.
2.sipigi kura, mpaka ipatikane katiba mpya na tume huru.

Chadema mmenipa hasira isiyomithilika.
Simama kama mzalendo kwa nchi yako...viti maalumu ni muhimu
 
Kwa,wale kristo,soma hayo maneno ya biblia,2timotheo3:1 utaona tupo wakati gani? Watu wa aina gani?

Wapenda madaraka
Wapenda fedha
Wasio penda kufanya suruhu n.k
Screenshot_20201124-195218.jpg
 
Nadhani ni wakati wa Tundu Lissu kuanzisha chama kipya, i feel Chadema imefeli kuanzia sasa kama chama (unless waje na maamuzi magumu), tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Haaa lisu akianzisha Chama hakiwezi pata usajiri hapa tz. Keep my words.
 
Yeah i know that, ila anaweza kutumia watu wengine anaowaamini wakaenda kukisajili, then badae akawa mwenyekiti, unajua nahisi bado tuna safari ndefu sana, sio nahisi ila bado tuna safari ndefu sana kama bado tutaendelea kuwa na vyama hivi hii vilivyopo sasa, i thing wote sura zao harisi zinaonekana kila leo, i wish tupate vyama vyenye viongozi na watu mfano wa Lissu, and Fatma karume , Maria tsehai, na wengine wenye mindset kama zile na angalau misimamo ilio wazi. Its so sad kuona Halima mdee and the rest kufanya kitendo kama walichofanya leo, na hakuna utetezi wowote watakao toa ukaeleweka kwa elites (only poor little minded people wanaweza kuwaelewa) sababu chochote watachoongea kitaleta jibu kuwa ni kukosa msimamo na uvumilivu na dira, thats all, na kwa reasons hizo basi bado hawakidhi vigezo vya kuwa watu wakuleta changes, sababu changes zinawachange wao badala ya system.
 
Zanzibar nako kuna mtu ana kazi ya ziada katika kufanya maamuzi magumu!
1456109.jpg
 
Siasa za bongo ni upuuzi mtupu
Chama tawala ni madhalimu
Na wapinzani ni malayamalaya
Kwa hiyo cha msingi tuwapuuze wote
 
Nadhani ni wakati wa Tundu Lissu kuanzisha chama kipya, i feel Chadema imefeli kuanzia sasa kama chama (unless waje na maamuzi magumu), tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Wangalau Lisu ndio anashikilia imani yangu kwa upinzani. Lile kosa la kumpokea Lowassa wakati ule nilijua litaleta madhara makubwa sana kwa chama. Sioni cdm ikivutia tena wananchi. Tutarajie chaguzi zetu kukosa wapiga kabisa, maana wananchi tumekosa imani na wapinzani, na hatuko tayari na ccm.
 
Siasa za bongo ni upuuzi mtupu
Chama tawala ni madhalimu
Na wapinzani ni malayamalaya
Kwa hiyo cha msingi tuwapuuze wote

Kula tano mwanangu. Kwa sasa tutafanya upinzani bila kutegemea chama chochote cha siasa. Kuanzia sasa ccm na vyama vingine vya upinzani vitajua hatuna imani nao tena. Wangalau cdm iliendelea kutufanya tuwe na imani na siasa na wanasiasa, ila kwa sasa wote tumewapuuza. Natarajia chaguzi zetu kuanzia sasa kuwa na wapiga kura wachache kupata kutokea.
 
Back
Top Bottom