kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,413
- 9,299
Tutakuwa tu na utitiri wa vyama vya siasa kila kukicha lakini athari yake ikiwa kiduchuNadhani ni wakati wa Tundu Lissu kuanzisha chama kipya, i feel Chadema imefeli kuanzia sasa kama chama (unless waje na maamuzi magumu), tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!