CHADEMA, either kwa makusudi au kwa kutotambua, wamepoteza leverage

Tutakuwa tu na utitiri wa vyama vya siasa kila kukicha lakini athari yake ikiwa kiduchu
 
Hata Halima Mdee!! Loh, kweli usimwamini mtu kwa 100%.

CHADEMA lazima isimamie inachoKiamini. Bila ya kujali kama CCM itaendelea kuvunja katiba na kuamua kuendelea kuwaweka Bungeni wanachama hawa waliokisaliti chama au vinginenvyo, ni lazima hatua madhubuti zichukuliwe. Wasaliti hawa wote wafukuzwe uanachama mara moja. Wakaongeze nguvu ya UWT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika nchi ambapo rais anaabudiwa hata na wale wanaojiita viongozi wa kidini kuliko Mungu muumba hicho chama kitakachoundwa na Lissu Magufuli hawezi kamwe akakisajili.

Na hata akifaulu kukisajili kwa kutumia "Proxies" lakini bado atachomekewa mamluki tu.

Katika nchi zetu hizi za sisi kaluganzila wengi wa watu wanajua siasa ni njia ya mkato ya kujitafutia maisha. That's all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…