CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

Kajifunze kuandika kwa ufasaha kwanza!
 
Ume andika upuuzi kima
 
Umejibu vema sana,wachangiaji wengi wamekurupuka tu bila kuelewa kuwa mtuhumiwa ni Mbowe na haki zake lazima apate kwa mujibu wa sheria!Kusema kuwa CDM inasababisha kesi kuchelewa au mtuhumiwa kukosa haki zake ni kutojua sheria na katiba!
 
Ushauri mzuri ila mleta mada utatukanwa sana na isingekuwa ujeuri mbowe leo asingekuwa segerea, sasa hao mashabiki zake acha waendelee na mihemko bila kutumia akili
Kwani jela kuna ni nini wamejaa msmilionea na pesa zao miaka,achakutisha watu
 
Ushauri mzuri ila mleta mada utatukanwa sana na isingekuwa ujeuri mbowe leo asingekuwa segerea, sasa hao mashabiki zake acha waendelee na mihemko bila kutumia akili

Huko magerezani kumejaa mahabusu na wafungwa, je wote hao ni sababu ya ujeuri wa wanacdm, au unapost ili na wewe uonekane upo?
 
Ila noma, jamaa anaenda kukaa chumba cha giza hadi tarehe 27! Siku moja ndani ya selo ni kama mwezi mmoja, niliwahi lala siku moja, nikajisemea sitokuja rudi humu ndani kamwe!! Yaani bora mmalizane nje ila siyo kuingia mle ndani
Mtu X n gaid kasoro ndevu na kanzu tu
 
Haaa haaa haaaa Malaika. Chadema hata Mie wamenishinda. Yule Malaika wa ubelgiji ukimkosoa kukujibu anasimamia vidole gumba. Mdomo unaongeza cm 1 Kwa mwaka jinsi anavyokomaa akiongea
 
Hi imenirudisha shule, darasa lenye uelewa wanafunzi wanapogundua mwalimu hajui somo wanavyomsumbua, na mwalimu anavyopanic. Mwalimu badala ya kutafuta ufumbuzi anakimbilia kwa Mwl mkuu. Kumbe hajui anawapotezea wale watoto muda.

Dola na CCM jitafakarini mjibu hoja za hao wapinzani. Mtaaibika. Acheni funo na kulazimisha mambo ambayo wananchi wanaona tunapotezeana muda ili kulinda vyeo vyenu.
 
wataaibika kivipi?
 
punguza ujuaji
 
Hongera leo mmekuwa washauri wa CHADEMA,,, badala ya kuishauri serikali yenu inachokifanya siyo,,
Kweli mnaona serikali iko sawa?????
Angalia kesi inavyopigwa danadana!!!
 
Huko magerezani kumejaa mahabusu na wafungwa, je wote hao ni sababu ya ujeuri wa wanacdm, au unapost ili na wewe uonekane upo?
Shida yenu ni ujeuri na kutokutumia akili Matokeo yake mnadakwa na kulala magereza huku chama kikiendelea kudumaa huwezi shindana na mwenye dola kwa kutumia strategy zilizofeli siku zote na ccm inazidi kupeta
 
Yaani nyingi ujinga wenu ni kuona dola ndio itumike kupambana na wapinzani na sio kujibu hoja kwa hoja.

Ni wajinga sana nyie.
Sawa siye ni wajinga ila kwa uhai wako hutokuja kuona au kusikia CDM, Mbowe na Lissu wakiwa viongozi wakuu wa Tanzania.

Hata CCM ikishindwa, itatawaliwa na Chama kingine tofauti na CDM
 
Shida yenu ni ujeuri na kutokutumia akili Matokeo yake mnadakwa na kulala magereza huku chama kikiendelea kudumaa huwezi shindana na mwenye dola kwa kutumia strategy zilizofeli siku zote na ccm inazidi kupeta

Acha shobo, sema hao waliojazana huko magereza nao ni sababu ya hao cdm? Au ukisikia hadithi huku mitandaoni unaanza kutambaa nazo na kugeuza ndio hoja zako? Cdm inafubaa, kisha ccm inaendelea kupeta, lakini ili iendelee kupeta inabidi itegemee kura za kwenye mabeg. Uza ubongo huo sister maana unakaa nao kwa hasara.
 
Sawa siye ni wajinga ila kwa uhai wako hutokuja kuona au kusikia CDM, Mbowe na Lissu wakiwa viongozi wakuu wa Tanzania.

Hata CCM ikishindwa, itatawaliwa na Chama kingine tofauti na CDM
Mkuu ndio itakuwa hivyo kweli, au haya ndio matamanio yako?
 
Mkuu ndio itakuwa hivyo kweli, au haya ndio matamanio yako?
Precisely, we need a new thinking to take us from this mess. We are fedup with CCM and CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…