Ngoja waje wafuas wa maraika, wao wanaamini hawakosei, wala hao mwaraika wao wa ubelgij na huyu wa sentrio huwa hawakosei, na hil ndyo tatizo sugu, hawa jamaa wana mapenz ya kijinga ktk siasa, siasa inakuruhusu kumkosoa kiongoz anapokosea hata kama ni yule unayemuamn na kumfuata, anapokosea lzma akosolewe na kuonywa, lkn kwa hawa jamaa wao hawamn ktk kukosea kwa chadema zaid ya kuyamulika makosa ya CCM tu, yakwao yako mengi lkn ukiyagusia wanaishia kukutukana na kukuita mataga, sukuma gang, mara msukule wa rumumba mara mfuate yule wa chato, haya yote ni kuonesha akili zao za kipumbavu, huwezi muita mtu majina haya kisa kaenda tofaut na mawazo yako, wao hawataki kuamn ktk kukosea ila kuwakosoa wengine, huu ni ushenzi usiostahimirika, watu wengine hatuamn siasa wala si wafuas wa chama chochote, hivyo tunapokosoa wao wanaishia kutuweka ktk kundi fulan bila kujitathimin kwanza wap wanakosea, hil ndyo tatzo la siasa za Tz, hovyo kabisa