CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

Precisely, we need a new thinking to take us from this mess. We are fedup with CCM and CHADEMA

Kipi kinawafanya msianzishe hicho mtakacho, au ni mpaka ccm na cdm zife? Sasa kama hata kuanzisha hicho cha kwenu hivi sasa mmeshindwa, hata mkifanikiwa mtakuwa mna jipya kweli? Nimecheka hiki ulichoandika mpaka basi. Kimsingi ww una hasira na cdm, ila umetaja ccm ili kuficha dhamira yako, lakini kimsingi tatizo lako ni cdm. Huna tatizo lolote na ccm. Jenga ushawishi kwa msajili wa vyama aifute cdm.

Na kwa taarifa yako toka enzi Za JK ccm wana mpango wa kuiua cdm ili waanzishe chama kingine cha upinzani, kisha kifanye siasa kwa muongozo wa ccm. Lengo ilikuwa ni kuipandisha ACT, lakini kwa bahati mbaya kizazi hiki kinachagua kinachotaka, na sio watakacho ccm. Kwa sasa ccm iko kwenye wakati mgumu, maana imepoteza ushawishi, hivyo inashindwa kuanzisha chama cha kuvutia wananchi, lakini chenye control ya ccm. Kimsingi ccm ilikosea kuiacha cdm ikue na kugeuka kuwa imani. Hivyo hata ww haya matamanio yatakuacha na chuki tu ambayo hutofanikiwa kwa lolote.
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Ushauri mzuri ila mleta mada utatukanwa sana na isingekuwa ujeuri mbowe leo asingekuwa segerea, sasa hao mashabiki zake acha waendelee na mihemko bila kutumia akili
Wakae kimya hata taratibu zinapokiukwa ?

Mahakama inatoa haki siyo hisani.

Kwahiyo Mbowe yupo gerezani na kutoka kwake ni kwa hisani siyo haki?
 
Kwa nini usishauri serikali iendeshe kesi kwa kufuata sheria.
Siri alitangazia ulimwengu kua Ushahidi umekamilika.
Mama akasema kua wenzake na Mbowe wameshafungwa yeye alkimbia Nairobi.

Hivi kweli serikali inaweza kukosa gari la kumpeleka mtuhumiwa mahakamani ila magari ya polisi yapo kama 30 yanaranda mahakamani aisee.
 
CHADEMA ,hatuna huoga, hatubembelezi Tunasema twende tu, Yani mtufunge KWa kesi za kubambikiana kisa mwala posho ,pitia Mbowe na Chadema alafu tujipendekeze kwenu, siku chama changu kikifanya ujinga wa hivi nitamuomba mungu anipe NJIA nyingine ya kutafuta Uhuru nje ya Chama chochote
 
Mwache aozee jela. Salmini Amour alikandamiza upinzani akaishia kupofuka macho. Hata sasa Mungu kagoma kumchukua, kamwacha aisome namba.
Magufuli dikteta mkuu, wote tunajua kilichompata.
Mwambie mama yenu akaze uzi, aone ataakacho fanywa na Mungu wa haki
 
Kwamba umma ukae kimya wakati watawala wanabambikiza kesi za uongo na kunyima haki watu wasio na hatia!

Ushauri wa hovyo kabisa huu!!!
 
Chadema Wachague Mwenyeikiti mwingine itapunguzia Mbowe kufuatiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…