Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Precisely, we need a new thinking to take us from this mess. We are fedup with CCM and CHADEMA
Kipi kinawafanya msianzishe hicho mtakacho, au ni mpaka ccm na cdm zife? Sasa kama hata kuanzisha hicho cha kwenu hivi sasa mmeshindwa, hata mkifanikiwa mtakuwa mna jipya kweli? Nimecheka hiki ulichoandika mpaka basi. Kimsingi ww una hasira na cdm, ila umetaja ccm ili kuficha dhamira yako, lakini kimsingi tatizo lako ni cdm. Huna tatizo lolote na ccm. Jenga ushawishi kwa msajili wa vyama aifute cdm.
Na kwa taarifa yako toka enzi Za JK ccm wana mpango wa kuiua cdm ili waanzishe chama kingine cha upinzani, kisha kifanye siasa kwa muongozo wa ccm. Lengo ilikuwa ni kuipandisha ACT, lakini kwa bahati mbaya kizazi hiki kinachagua kinachotaka, na sio watakacho ccm. Kwa sasa ccm iko kwenye wakati mgumu, maana imepoteza ushawishi, hivyo inashindwa kuanzisha chama cha kuvutia wananchi, lakini chenye control ya ccm. Kimsingi ccm ilikosea kuiacha cdm ikue na kugeuka kuwa imani. Hivyo hata ww haya matamanio yatakuacha na chuki tu ambayo hutofanikiwa kwa lolote.