Chadema fuatilieni kinachoendelea ODM baada ya Odinga kuridhiana na Rais Ruto, mtakuja kunishukuru baadaye

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM

Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake

Chadema wameomba Nusu Mkate 2025 Ndio sababu nawashauri wajifunze faida na hasara zake sasa kupitia ODM

Nafuatilia Mjadala Citizen TV hali ni tete Sana

Mungu ni Mwema wakati Wote 😄
 
Mbona Odm wamegomaa..?
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-25-11-55-17-24.jpg
    Screenshot_2024-07-25-11-55-17-24.jpg
    322.8 KB · Views: 1
CHADEMA siyo omba omba wapo vizuri hawahitaji hisani ya maza
Watapata wapi nusu mkate kwa kutegemea wabunge toka tu Moshi?Arusha na Manyara wameshagoma kutumika bado wachagga tu wamebaki na si wa maeneo yote .Mfano Vunjo kwetu mdudu Chadema hatufai.Kibaya zaidi walitaka kuteletea mkumbizi to oldmoshi aliachika kwenye ndoa eti awe mgombe wa Vunjo.
 
Hatimaye Ruto amekubali kula matapishi,yake, maana alikataa katakata kuunda serikali ya nusu mkate.
 
Watapata wapi nusu mkate kwa kutegemea wabunge toka tu Moshi?Arusha na Manyara wameshagoma kutumika bado wachagga tu wamebaki na si wa maeneo yote .Mfano Vunjo kwetu mdudu Chadema hatufai.Kibaya zaidi walitaka kuteletea mkumbizi to oldmoshi aliachika kwenye ndoa eti awe mgombe wa Vunjo.
Wewe siyo mchaga ni shetani fulani usiye na akili, hakuna mchaga mjinga kama wewe
 
Kuna Mjadala mkubwa unaendelea kwenye Chama kikuu Cha Upinzani nchini Kenya ODM

Nusu Mkate ya Baraza la Mawaziri imeigawa ODM kiasi Cha kutishia Usalama wake

Chadema wameomba Nusu Mkate 2025 Ndio sababu nawashauri wajifunze faida na hasara zake sasa kupitia ODM

Nafuatilia Mjadala Citizen TV hali ni tete Sana

Mungu ni Mwema wakati Wote 😄
Wewe unawapa ushauri chadema kama nani?
 
Back
Top Bottom