KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForumsCHADEMA sio kwamba wapo tu na wana-'savaivu' bali wanatambuliwa kuwa ni tishio kubwa ndio maana walitakiwa wafe.kungali mapema ili wakati kama huu tukielekea kwenye uchaguzi mkuu pasiwepo tena na kuulizana itakuwaje!
CCM sasa itabidi wakubali. Wameshindwa kuwaua CHADEMA, na dalili zote zipo wazi kwamba hakuna njia ya kuwaua na kuwamaliza kabisa kabla ya uchaguzi mkuu oktoba.
Watayarejesha kwa gharama ya nanihii...I reserve my comment
Kweli matendo na kauli zao yamewaweka mbali sana na wananchi hivyo wanachuki kubwa moyoni na CCM ila tuu kiburi ndio kinailinda CCM.
Mfano wa Kitendo cha Bulembo kusema Zitto ni msaliti auawe wao wanaona ni kauli ya kawaida.
Lakini ona respond ya watu msiba wa mama Lwakatare (Askofu sijui mchungaji) ilivyokuwa.
Mama maarufu akageuziwa kashfa na kebehi kwa kitendo tuu cha kupiga meza kushangilia kauli ile japo kuwa yawezekana mama alipiga meza kwa mazoea tuu wala sio kuunga mkono kauli ile.
Hizo ndio dalili kuwa watu wako kimya lakini wanachuki kubwa mioyoni mwao. Piga kura Leo na mhesabuji awe huru hakika CCM kupata 30% ni mafanikio makubwa sana. Huyo jiwe hata kura za wanaccm wenye akili hapati ng"oo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wape habariiiiiiHazina ya CCM ni vyombo vya dola.. Hazina ya CHADEMA ni mioyo ya wananchi
Kuwatetea kwa kukwapua pesa za walalahoi na kuja kuzitumbua Dar badala ya kukaa bungeni ili mpitishe bajeti kwa ajili ya manufaa ya taifa!Utakufa wewe lakini CHADEMA bado itaendelea kuwatetea watanzania na kuwalaza na viatu CCM
In God we Trust
Huyo Zitto hilo jina la usaliti tunajua ametoka nalo CHADEMA ndiko aliko batizwa hivi sasa kila mmoja analirudia tuu!Kweli matendo na kauli zao yamewaweka mbali sana na wananchi hivyo wanachuki kubwa moyoni na CCM ila tuu kiburi ndio kinailinda CCM.
Mfano wa Kitendo cha Bulembo kusema Zitto ni msaliti auawe wao wanaona ni kauli ya kawaida.
Lakini ona respond ya watu msiba wa mama Lwakatare (Askofu sijui mchungaji) ilivyokuwa.
Mama maarufu akageuziwa kashfa na kebehi kwa kitendo tuu cha kupiga meza kushangilia kauli ile japo kuwa yawezekana mama alipiga meza kwa mazoea tuu wala sio kuunga mkono kauli ile.
Hizo ndio dalili kuwa watu wako kimya lakini wanachuki kubwa mioyoni mwao. Piga kura Leo na mhesabuji awe huru hakika CCM kupata 30% ni mafanikio makubwa sana. Huyo jiwe hata kura za wanaccm wenye akili hapati ng"oo
Sent using Jamii Forums mobile app
UDP si pia inatetea watanzania!Utakufa wewe na ukoo wako woote lkn cdm bado itaendelea kuwatetea watanzania na kuwalaza na viatu ccm
In God we Trust
Naona wenyewe mmefika sasaHuyo Zitto hilo jina la usaliti tunajua ametoka nalo CHADEMA ndiko aliko batizwa hivi sasa kila mmoja analirudia tuu!
Kuwa CHADEMA inafuata nyayo za TLP!Wape habariiiiii
In God we Trust
Kumekucha mmeingia kazini kwa nguvuUDP si pia inatetea watanzania!