CDM hata kama hawafanyi mikutano ya hadhara, bado CCM hawawezi kuwamaliza.
Yaani CDM wanaweza kukaa kimya mwaka mzima, bado wananchi waka "respond positively" siku kiongozi yeyote wa CDM akipatwa na tatizo, refer michango ya kuwatoa gerezani, hii ni stage ya juu sana ya ukomavu.
Inshort, by now; CDM inatembea kwenye akili na mioyo ya watanzania wote wenye akili timamu, CDM imekuwa kama kiungo kwenye miili yao, hawawezi tena kukiacha.
Wanaweza kujidanganya kuwapora ushindi wabunge/madiwani wa CDM kwa lazima kwenye uchaguzi, but believe me; next time uchaguzi ukiitishwa, CDM watashinda mara mbili mpk mara tatu zaidi sababu ya hasira watakazo kuwa nazo wananchi kwa uonevu wanaofanyiwa CDM.
Kwa hapa kilipofikia, yeyote anayewaza kuiua CDM ajue ni sawa na kuwanyima raha wote wenye kujielewa, atawanyon'gonyeza kwa muda, ila baadae awe tayari kwa kisasi chao.
Ukitaka kuiua CDM, peleka watz wote hospital; "format" bongo zao, jaribu "install" pumba utazotaka, kinyume na hapo unajidanganya.
HAKUNA WAKUIONDOA CDM KWENYE SIASA ZA TANZANIA, WATAMALIZA RESOURCES ZOTE, BUT THEY WON'T PREVAIL.
Sent using
Jamii Forums mobile app