ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya Waanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei na Bob Makani,.
Mtei ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema, ambaye alihudumu Kwa Miaka 5, akaja Shemeji yake ambaye ni Bob Makani, ambao hao kina Makani wameoa Kwenye Familia ya Mtei. Baada ya Bob Makani Kuachia Ngazi, chama kilikabidhiwa Kwa Mbowe ambaye ni Mkwe wa Mtei, yaani ameoa mtoto wa Mtei.
Lissu hakuwa na mpango wa kugombea Uenyekiti kwani aliheshimu miiko iliyowekwa na Familia yenye chama (Familia ya Mbowe), na alikuwa aendelee kugombea umakamu mwenyekiti, Sasa baada ya kupata habari za Ndani kuwa wanataka kumtoa kabisa katika uongozi na nafasi Ile ya makamo mwenyekiti Lissu aliamua liwalo na liwe , Sasa nagombea Uenyekiti, kitu kilichompa msongo wa mawazo Mzee mbowe aliekabidhiwa chama na familia.
Mbowe alikuwa bado hajaandaa mtu wa familia wa kurithi nafasi yake , kwakuwa alijua bado anaweza kuhudumu nafasi hiyo, hivyo Sasa ameomba miaka mitano ambayo itamtosha kumuandaa mtu wa Familia Kwa ajili ya kurithi nafasi hiyo muhimu Kwa chama Chao.
Hivyo tunajua, Mbowe ni mara mia chama kifie mikononi mwa mtu wa familia kuliko kukikabidhi chama Kwa mtu Baki. Sasa kelele za katiba mpya nadhani zitaisha baada ya uchaguzi huu wa Chadema, kama Hawa hawataki kuondoka kwenye chama , wakipewa nchi sijui itakuaje itakuwa Baraza la mawaziri wote lazima wawe mbowe family