Ni mchaga!!..mke wa mzee makani ni mnyakyusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchaga!!..mke wa mzee makani ni mnyakyusa.
Ni mchaga!!
Acha uwongo ni mtoto Gani wa Makani kaoa kwa kina Mbowe?Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya Waanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei na Bob Makani,.
Mtei ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema, ambaye alihudumu Kwa Miaka 5, akaja Shemeji yake ambaye ni Bob Makani, ambao hao kina Makani wameoa Kwenye Familia ya Mtei. Baada ya Bob Makani Kuachia Ngazi, chama kilikabidhiwa Kwa Mbowe ambaye ni Mkwe wa Mtei, yaani ameoa mtoto wa Mtei.
Lissu hakuwa na mpango wa kugombea Uenyekiti kwani aliheshimu miiko iliyowekwa na Familia yenye chama (Familia ya Mbowe), na alikuwa aendelee kugombea umakamu mwenyekiti, Sasa baada ya kupata habari za Ndani kuwa wanataka kumtoa kabisa katika uongozi na nafasi Ile ya makamo mwenyekiti Lissu aliamua liwalo na liwe , Sasa nagombea Uenyekiti, kitu kilichompa msongo wa mawazo Mzee mbowe aliekabidhiwa chama na familia.
Mbowe alikuwa bado hajaandaa mtu wa familia wa kurithi nafasi yake , kwakuwa alijua bado anaweza kuhudumu nafasi hiyo, hivyo Sasa ameomba miaka mitano ambayo itamtosha kumuandaa mtu wa Familia Kwa ajili ya kurithi nafasi hiyo muhimu Kwa chama Chao.
Hivyo tunajua, Mbowe ni mara mia chama kifie mikononi mwa mtu wa familia kuliko kukikabidhi chama Kwa mtu Baki. Sasa kelele za katiba mpya nadhani zitaisha baada ya uchaguzi huu wa Chadema, kama Hawa hawataki kuondoka kwenye chama , wakipewa nchi sijui itakuaje itakuwa Baraza la mawaziri wote lazima wawe mbowe family
Umedanganya. Hamna mtoto wa Makani aliyeoa mtoto wa ukoo wa Mbowe. Kama yupo mtaje.Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya Waanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei na Bob Makani,.
Mtei ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema, ambaye alihudumu Kwa Miaka 5, akaja Shemeji yake ambaye ni Bob Makani, ambao hao kina Makani wameoa Kwenye Familia ya Mtei. Baada ya Bob Makani Kuachia Ngazi, chama kilikabidhiwa Kwa Mbowe ambaye ni Mkwe wa Mtei, yaani ameoa mtoto wa Mtei.
Lissu hakuwa na mpango wa kugombea Uenyekiti kwani aliheshimu miiko iliyowekwa na Familia yenye chama (Familia ya Mbowe), na alikuwa aendelee kugombea umakamu mwenyekiti, Sasa baada ya kupata habari za Ndani kuwa wanataka kumtoa kabisa katika uongozi na nafasi Ile ya makamo mwenyekiti Lissu aliamua liwalo na liwe , Sasa nagombea Uenyekiti, kitu kilichompa msongo wa mawazo Mzee mbowe aliekabidhiwa chama na familia.
Mbowe alikuwa bado hajaandaa mtu wa familia wa kurithi nafasi yake , kwakuwa alijua bado anaweza kuhudumu nafasi hiyo, hivyo Sasa ameomba miaka mitano ambayo itamtosha kumuandaa mtu wa Familia Kwa ajili ya kurithi nafasi hiyo muhimu Kwa chama Chao.
Hivyo tunajua, Mbowe ni mara mia chama kifie mikononi mwa mtu wa familia kuliko kukikabidhi chama Kwa mtu Baki. Sasa kelele za katiba mpya nadhani zitaisha baada ya uchaguzi huu wa Chadema, kama Hawa hawataki kuondoka kwenye chama , wakipewa nchi sijui itakuaje itakuwa Baraza la mawaziri wote lazima wawe mbowe family
Mke wa Makani anaitwa Vickie Kakuyu kwao Soko Matola Mbeya. Makani kwao ni Ibadakuli Shinyanga..Mzee Makani alisingiziwa kuwa ni Mkristo na ameoa Mchaga.
..Ukweli ni kwamba alikuwa Muislamu, na jina lake ni Mohammed Bob Nyanga Makani.
..Ukweli mwingine ni kwamba mke wa Mzee Makani ni mwenyeji wa Mbeya, Mnyakyusa.
Case closed.Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya Waanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei na Bob Makani,.
Mtei ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema, ambaye alihudumu Kwa Miaka 5, akaja Shemeji yake ambaye ni Bob Makani, ambao hao kina Makani wameoa Kwenye Familia ya Mtei. Baada ya Bob Makani Kuachia Ngazi, chama kilikabidhiwa Kwa Mbowe ambaye ni Mkwe wa Mtei, yaani ameoa mtoto wa Mtei.
Lissu hakuwa na mpango wa kugombea Uenyekiti kwani aliheshimu miiko iliyowekwa na Familia yenye chama (Familia ya Mbowe), na alikuwa aendelee kugombea umakamu mwenyekiti, Sasa baada ya kupata habari za Ndani kuwa wanataka kumtoa kabisa katika uongozi na nafasi Ile ya makamo mwenyekiti Lissu aliamua liwalo na liwe , Sasa nagombea Uenyekiti, kitu kilichompa msongo wa mawazo Mzee mbowe aliekabidhiwa chama na familia.
Mbowe alikuwa bado hajaandaa mtu wa familia wa kurithi nafasi yake , kwakuwa alijua bado anaweza kuhudumu nafasi hiyo, hivyo Sasa ameomba miaka mitano ambayo itamtosha kumuandaa mtu wa Familia Kwa ajili ya kurithi nafasi hiyo muhimu Kwa chama Chao.
Hivyo tunajua, Mbowe ni mara mia chama kifie mikononi mwa mtu wa familia kuliko kukikabidhi chama Kwa mtu Baki. Sasa kelele za katiba mpya nadhani zitaisha baada ya uchaguzi huu wa Chadema, kama Hawa hawataki kuondoka kwenye chama , wakipewa nchi sijui itakuaje itakuwa Baraza la mawaziri wote lazima wawe mbowe family
Basi mwambie Mbowe Aachie madaraka, Kuna watu walipotosha. Umeeleweka kabisaMke wa Makani anaitwa Vickie Kakuyu kwao Soko Matola Mbeya. Makani kwao ni Ibadakuli Shinyanga
Basi mwambie Mbowe Aachie madaraka, Kuna watu walipotosha. Umeeleweka kabisa
Wacha ujinga Mwenyekiti Mbowe ana haki kama mwanachadema yeyote kugombea Uenyekiti. Katiba inamruhusu. Hakuna kuachiwa Uenyekiti wa dezo. Leteni pua kwenye Uchaguzi wajumbe waamue.Wewe ndio umeleta hii mada na kwa sababu umekiri ni upotoshaji iondoe.Muungwana akifumwa uchi huchutama.Do the needful.Basi mwambie Mbowe Aachie madaraka, Kuna watu walipotosha. Umeeleweka kabisa
Sasa huwezi kukiita chama cha ukombozi alafu kiongozi au viongozi wakuu watokee ukoo mmoja tuu.. hiko ni kikundi tu km kikundi vingine.Nataka watu watambue kuwa , Toka kuanzishwa Kwa Chadema ambacho ndio chama Cha ukombozi, haijawahi kutokea chama hili kikawa na Kiongozi Mkuu ambaye c mwana familia wa Chadema.
Hivyo Mimi naona kwangu itakuwa mtihani mkubwa Kwa Mbowe kuvunja mwiko uliowekwa na waasisi wa Chama hicho, Moja ya Waanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei na Bob Makani,.
Mtei ndio alikuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Chadema, ambaye alihudumu Kwa Miaka 5, akaja Shemeji yake ambaye ni Bob Makani, ambao hao kina Makani wameoa Kwenye Familia ya Mtei. Baada ya Bob Makani Kuachia Ngazi, chama kilikabidhiwa Kwa Mbowe ambaye ni Mkwe wa Mtei, yaani ameoa mtoto wa Mtei.
Lissu hakuwa na mpango wa kugombea Uenyekiti kwani aliheshimu miiko iliyowekwa na Familia yenye chama (Familia ya Mbowe), na alikuwa aendelee kugombea umakamu mwenyekiti, Sasa baada ya kupata habari za Ndani kuwa wanataka kumtoa kabisa katika uongozi na nafasi Ile ya makamo mwenyekiti Lissu aliamua liwalo na liwe , Sasa nagombea Uenyekiti, kitu kilichompa msongo wa mawazo Mzee mbowe aliekabidhiwa chama na familia.
Mbowe alikuwa bado hajaandaa mtu wa familia wa kurithi nafasi yake , kwakuwa alijua bado anaweza kuhudumu nafasi hiyo, hivyo Sasa ameomba miaka mitano ambayo itamtosha kumuandaa mtu wa Familia Kwa ajili ya kurithi nafasi hiyo muhimu Kwa chama Chao.
Hivyo tunajua, Mbowe ni mara mia chama kifie mikononi mwa mtu wa familia kuliko kukikabidhi chama Kwa mtu Baki. Sasa kelele za katiba mpya nadhani zitaisha baada ya uchaguzi huu wa Chadema, kama Hawa hawataki kuondoka kwenye chama , wakipewa nchi sijui itakuaje itakuwa Baraza la mawaziri wote lazima wawe mbowe family
Imeshajibiwa na imedhihirika ni uzushi.Wacha kuwa mvivu kusoma.Sasa huwezi kukiita chama cha ukombozi alafu kiongozi au viongozi wakuu watokee ukoo mmoja tuu.. hiko ni kikundi tu km kikundi vingine.
Sii hoja dhaifu tu ni hoja ya uongo na uzushi iliyopikwa kwa nia ya kueneza uovu tu.Fanyeni kampeni za kistaarabu.Hoja ya ukoo ni hoja dhaifu mleta mada