Chadema haijawahi kuwa na M.kiti, nje ya Familia ya Mbowe, Hawezi kuvunja mwiko

Ni mchaga!!

..Mzee Makani alisingiziwa kuwa ni Mkristo na ameoa Mchaga.

..Ukweli ni kwamba alikuwa Muislamu, na jina lake ni Mohammed Bob Nyanga Makani.

..Ukweli mwingine ni kwamba mke wa Mzee Makani ni mwenyeji wa Mbeya, Mnyakyusa.
 
Acha uwongo ni mtoto Gani wa Makani kaoa kwa kina Mbowe?
Watoto wa Makani ni hawa:-
Umedanganya. Hamna mtoto wa Makani aliyeoa mtoto wa ukoo wa Mbowe. Kama yupo mtaje.

Grace Makani kaolewa na David Tarimo mchagga wa Marangu, kina Mbowe kwao ni Machame, directions mbili tofauti.

Anthony Tume Makani kamuoa Luty, Ambaye ni Mnyamwezi na Mngoni.

Julie Makani ameolewa na Abdul Idd Simba ambaye ni Mrundi.

Richard Kakuyu Makani kaoa Mhaya sasa nitajie mtoto wa Makani mwenye kuoa kwa kina Mbowe
 
..Mzee Makani alisingiziwa kuwa ni Mkristo na ameoa Mchaga.

..Ukweli ni kwamba alikuwa Muislamu, na jina lake ni Mohammed Bob Nyanga Makani.

..Ukweli mwingine ni kwamba mke wa Mzee Makani ni mwenyeji wa Mbeya, Mnyakyusa.
Mke wa Makani anaitwa Vickie Kakuyu kwao Soko Matola Mbeya. Makani kwao ni Ibadakuli Shinyanga
 
Case closed.
 
Basi mwambie Mbowe Aachie madaraka, Kuna watu walipotosha. Umeeleweka kabisa

..binafsi nampinga Freeman Mbowe ktk kugombea tena Uenyekiti, lakini sifanyi hivyo huku nikiwazushia wazee waadilifu kama Edwin Mtei, na marehemu Mohamed Bob Makani.

..mtoa mada umekosea sana kwa uliyoandika katika mada yako. kuna hoja nyingi za kumpinga Mbowe, na kuipinga Chadema. Sielewi nini kimekulazimisha kuandika uongo.
 
Ampe yule kilaza James mbowe
 
Basi mwambie Mbowe Aachie madaraka, Kuna watu walipotosha. Umeeleweka kabisa
Wacha ujinga Mwenyekiti Mbowe ana haki kama mwanachadema yeyote kugombea Uenyekiti. Katiba inamruhusu. Hakuna kuachiwa Uenyekiti wa dezo. Leteni pua kwenye Uchaguzi wajumbe waamue.Wewe ndio umeleta hii mada na kwa sababu umekiri ni upotoshaji iondoe.Muungwana akifumwa uchi huchutama.Do the needful.
 
Sasa huwezi kukiita chama cha ukombozi alafu kiongozi au viongozi wakuu watokee ukoo mmoja tuu.. hiko ni kikundi tu km kikundi vingine.
 
Sasa huwezi kukiita chama cha ukombozi alafu kiongozi au viongozi wakuu watokee ukoo mmoja tuu.. hiko ni kikundi tu km kikundi vingine.
Imeshajibiwa na imedhihirika ni uzushi.Wacha kuwa mvivu kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…