Katika kundi hili la watu 100 walioshambulia mwanachadema, wamebaki watatu tu, sasa wewe endeleaWakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Nje ya mada, jikite kwenye mada.Katika kundi hili la watu 100 walioshambulia mwanachadema , wamebaki watatu tu , sasa wewe endelea
View attachment 2144950
Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
CHADEMA haiuwi watu, ila CCM kupitia police huua Sana.Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Tofautisha kufanya siasa na kufanya harakati za kisiasa zisizo na mashiko.Kufanya siasa ni haki kikatiba, ni chama cha siasa. Hawapo hapa kuuza sura, nao wanategemea siku kushika dola. Sijui kwa nini wanaccm hawataki kuona hilo. Wanaohatarisha usalama wa nchi ni Wanaccm wenyewe na polisi + wasiojulikana. Ni wajinga tu kama mleta mada wanaoamini kuwa CCM ina hati miliki ya nchi hii.
Wewe siyo mzima. Katafute matibabu ya kukufaa.Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Duu! Mkuu tupe ubuyu huu mtamu.Katika kundi hili la watu 100 walioshambulia mwanachadema , wamebaki watatu tu , sasa wewe endelea
View attachment 2144950
Wewe huna nia nzuriWakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.
Kwahiyo hapo kuna hoja au porojo tuJibu hoja kaka