Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Wakati wa Jakaya walilegezewa na walijisahau kiasi cha kuhatarisha amani ya taifa letu.
Wakati wa maandamano yao na operation Sangara zao watu wasio na hatia waliuwawa.
Sasa naona Mama Samia kwa huruma ameamua kuwalegezea lakini hawa sio watu maana ni wasahaulifu na huwa wanafanya mambo kwa mkumbo kama nyumbu. Soon watasahau.
Kama taifa tutakuja kukumbuka hawakupaswa kulegezewa.