CHADEMA haina budi kumtumia Emanuel Nchimbi ili kuboost kampeni yao ya kidigitali ya Tone Tone

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.

Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.

Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.

Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?

Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?

Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?

Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?

Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hakika kabisa sio dhambi...hata Cuf jengo lao la buguruni lina mchango wa CCM!
 
😄😄😄 watu mna majungu

No gentleman, sio majungu,

ni katika kushauri na kubusti ufanisi wa jambo hilo la Chadema ambalo kimsingi ni dogo sana, tena linaloweza kufanyika kwa muda mfupi zaidi kwa ufanisi na watu wataendelea na shughuli nyingine,

Pesa haitakagi maelezo au maneno meeeengi, wala press conference za kila leo. Ni vitendo tu.

Unless hiyo imekua ajira kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chadema wasio na kazi 🐒
 
Hakika kabisa sio dhambi...hata Cuf jengo lao la buguruni lina mchango wa CCM!
Yes,
hicho ndicho,

kwasabb let's face it,
haiwezekani chama kua na mfululizo wa press conference kila siku zaidi ya wiki, halafu milioni 65 haisogei hata nukta moja,

Lazima tuwe wangwana, CCM ilimchangia hata mwenyekiti wa Chadema Taifa, alipoomba kuchangiwa pesa kwaajili ya kununua gari.

Hili nalo Dr Emanuel Nchimbi anaweza kusaidia kwa haraka zaidi 🐒
 
56711D7D-E881-4439-84BD-32D6BD3CFF29.jpeg
 
Yes,
hicho ndicho,

kwasabb let's face it,
haiwezekani chama kua na mfululizo wa press conference kila siku zaidi ya wiki, halafu milioni 65 haisogei hata nukta moja,

Lazima tuwe wangwana, CCM ilimchangia hata mwenyekiti wa Chadema Taifa, alipoomba kuchangiwa pesa kwaajili ya kununua gari.

Hili nalo Dr Emanuel Nchimbi anaweza kusaidia kwa haraka zaidi 🐒
Naunga mkono ila....labda upande wa pili wananchi imani imepungua kutokana na michango isiyokwisha ya mumo kwa mumo cow boy naye hasomeki!
 
Attachments

  • 20250315_192136.jpg
    20250315_192136.jpg
    95.8 KB · Views: 38
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.

Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.

Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.

Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?

Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?

Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?

Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?

Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?[emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni mpumbavu sana sijui akili zako ziko nikotama...

Hujui huyo Nchimbi ana watu wengi wa kujipendekeza kwake kama wewe ambao watatoa tu hela ili kujipendekeza..!!

Hujui Nchimbi na wenzake Wana hela nyingi sana wanazo chota tu watakavyo BOT!!?

UCHAWA UMEKOPOFOSHA....HUONI TENA.
 
Relax bas Mama Naa kisha u calm down!

si ndio maana ninashauri chadema wamtumie DR.Emanuel Nchimbi kufanikisha huo mradi wao mapema, kwasababu kiongozi huyo muandamizi kitaifa anaaminika zaidi, na ana watu wenye moyo na uwezo wa kujitolea, ingawa hata hivyo anawatumia wachache sana miongoni mwa wengi..

Chadema wasione aibu kumtumia kiongozi huyo kujisitiri na fedheha ya michango kiduchu wanayoipata ukilinganisha na gharama ya muda na matangazo wanayotumia kuomba kuchangiwa.

Halafu kumbe chadema, viongozi na wachangishaji wake haina watu kabisaeee :pedroP:
 
Matone ni matone tu na yatabakia kuwa matone hivyo hivyo na wasitegemea ongezeko lolote lile kwenye hayo matone yao. Ilitakiwa waseme Mvua au mafuriko na siyo habari za matone. Hayo yote ni kwa kuwa chama kipo mikononi mwa watu wasio na maono wala Dira wala ushawishi kwa watu wenye uwezo wa kuwasaidia . Eti wanamtegemea SATIVA abeti mikeka yake ndio aje adondoshe hayo matone yake.

Viongozi wenyewe hawana shughuli maalumu zinazoeleweka za kuwaingizia kipato cha kila siku. Ndio maana wanataka kuishi kijanja janja kwa kuvizia matone Utafikiri chanjo ya watoto
 
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.

Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.

Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.

Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?

Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?

Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?

Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?

Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Makanisa kwa Jumapili moja tu hupata sadaka ya shilingi milioni tano(5,000,000/=) kiwango cha chini kabisa, misikiti Ijumaa hupata sadaka ya shilingi elfu thelathini(30,000/=) kiwango cha juu!
 
huko sifahamu gentleman :pedroP:
 
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.

Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.

Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.

Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?

Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?

Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?

Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?

Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
1742107487492.jpg
 
Cdm hawataki pesa za wauza unga na wakwepa kodi. Hizo acha azipate Nchimbi.
 
maskini dah,
jambazi na tapeli ndio eti mhamasishaji mkuu wa watu kuchangia pesa ambazo pia aliwapora wachangia, kweli inawezekana? :pedroP:
 
huko sifahamu gentleman :pedroP:
Lengo langu ni kutaka usifananishe michango kati ya makundi mawili, hsta kwenye misiba tunashuhudia msiyemtegemea anachangiwa pesa nyingi kuliko yule mnayemuona maarufu!
Wafanyabiashara hasa waasia huichangia CCM ili kulinda biashara zao wakati kwenye mikutano hauwaoni!
 
kwanini hawachangii chadema na wakati chadema wana ukata na uhitaji wa pesa kupindukia?

ni hawaaminiki?
wana matumizi mabaya sana kiholela ya pesa?
ni wala rushwa?,
au ni watu wa kususa, vurugu, maandamanao na fujo? :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom