Hakika kabisa sio dhambi...hata Cuf jengo lao la buguruni lina mchango wa CCM!Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.
Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.
Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.
Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?
Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?
Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?
Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?
Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
😄😄😄 watu mna majungu
Yes,Hakika kabisa sio dhambi...hata Cuf jengo lao la buguruni lina mchango wa CCM!
Naunga mkono ila....labda upande wa pili wananchi imani imepungua kutokana na michango isiyokwisha ya mumo kwa mumo cow boy naye hasomeki!Yes,
hicho ndicho,
kwasabb let's face it,
haiwezekani chama kua na mfululizo wa press conference kila siku zaidi ya wiki, halafu milioni 65 haisogei hata nukta moja,
Lazima tuwe wangwana, CCM ilimchangia hata mwenyekiti wa Chadema Taifa, alipoomba kuchangiwa pesa kwaajili ya kununua gari.
Hili nalo Dr Emanuel Nchimbi anaweza kusaidia kwa haraka zaidi 🐒
Wewe ni mpumbavu sana sijui akili zako ziko nikotama...Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.
Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.
Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.
Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?
Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?
Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?
Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?
Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?[emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
Relax bas Mama Naa kisha u calm down!Wewe ni mpumbavu sana sijui akili zako ziko nikotama...
Hujui huyo Nchimbi ana watu wengi wa kujipendekeza kwake kama wewe ambao watatoa tu hela ili kujipendekeza..!!
Hujui Nchimbi na wenzake Wana hela nyingi sana wanazo chota tu watakavyo BOT!!?
UCHAWA UMEKOPOFOSHA....HUONI TENA.
Makanisa kwa Jumapili moja tu hupata sadaka ya shilingi milioni tano(5,000,000/=) kiwango cha chini kabisa, misikiti Ijumaa hupata sadaka ya shilingi elfu thelathini(30,000/=) kiwango cha juu!Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.
Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.
Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.
Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?
Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?
Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?
Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?
Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.
Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.
Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.
Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?
Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?
Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?
Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?
Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwa faida ya wadua,
elezea kwa kina kifupi gentleman
Cdm hawataki pesa za wauza unga na wakwepa kodi. Hizo acha azipate Nchimbi.Kwasababu ni zaidi ya wiki sasa chadema inawachangisha wanachadema na wananchi Tanzania nzima na makusanyo hayajazidi million 65, wakati Dr Emanuel Nchimbi, kwa siku moja tu, tena chini ya masaa ma3, halafu ni kwa watu wachache tu, amefanikisha kuchangwa kwa milioni zaidi ya 950, kwajili ya kusaidia matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo.
Ikumbukwe pia mwezi February tu mwaka huu2025, Dr.Emmanuel Nchimbi aliongoza harambee ya kwaajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Singida na chini ya masaa ma3, zilichangwa zaidi ya 1.7 billion.
Kwa hali hiyo,
chadema ina kila sababu kumtumia kiongozi huyu wa kitaifa kufanikisha jambo lao tone tone na kua matone kwa urahisi zaidi.
Nayasema haya sio kwa ubaya, bali ustawi wa demokrasia nchini.
Ndugu mdau wa jukwaa hili muhimu sana, sote ni mashuhuda zoezi ni zito na halisingi mbele, kwa mtazamo wako,
unadhani nini kinasababisha michango ya tone tone ya chadema kusuasua?
Ni kwasababu ya kutoaminika kwa chadema kama Chama cha siasa nchini kulingana na mienendo yake ya kususia michakato ya kidemokrasi?
Au ni kwasababu ya kutoaminika kwa viongozi wake wahamasishaji waliowekwa mstari wa mbele kwenye masuala haya ya fedha huku wakiwa na historia mbovu ya udokozi na ujambazi?
Au ni kwasababu wasimamizi wa mfumo wa uchangiaji michango hiyo wanajulikana kwa utapeli?
Kama mdau wa siasa Tz,
nini kinafanya michango hiyo ya tone tone ya chadema, isivuke million 65 kwa zaidi ya wiki? Au ndio lengo lilikua kiasi hicho?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Lengo langu ni kutaka usifananishe michango kati ya makundi mawili, hsta kwenye misiba tunashuhudia msiyemtegemea anachangiwa pesa nyingi kuliko yule mnayemuona maarufu!huko sifahamu gentleman
kwanini hawachangii chadema na wakati chadema wana ukata na uhitaji wa pesa kupindukia?Lengo langu ni kutaka usifananishe michango kati ya makundi mawili, hsta kwenye misiba tunashuhudia msiyemtegemea anachangiwa pesa nyingi kuliko yule mnayemuona maarufu!
Wafanyabiashara hasa waasia huichangia CCM ili kulinda biashara zao wakati kwenye mikutano hauwaoni!