CHADEMA haina budi kumtumia Emanuel Nchimbi ili kuboost kampeni yao ya kidigitali ya Tone Tone

kwanini hawachangii chadema na wakati chadema wana ukata na uhitaji wa pesa kupindukia?

ni hawaaminiki?
wana matumizi mabaya sana kiholela ya pesa?
ni wala rushwa?,
au ni watu wa kususa, vurugu, maandamanao na fujo?
Wewe umesema wamechangia na kilichochangwa ukakifananisha na cha Nchimbi, sasa unasema hawachangii! Soma taarifa za Mkaguzi Mkuu wa Serikali kuhusu matumizi ya pesa Chadema, Chadema hupata hati safi kuliko CCM. Utakuwa una mimba changa. Kwaheri.
 
relax basi bila mihemko gentleman,

kutapeliwa utapeliwe wewe na matapeli wa chadema, halafu unikasirikie mimi gentleman? hiyo si sawa hata kidogo.
Tangu lini jambazi akawa ndio muhamasishaji wa watua aliowapora vitu mbalimbali eti tena huyo ndio mchangisha pesa?

huo si utapeli wa wazi kabisa mnatapeliwa kidigitali mchana kweupe gentleman?
 
We Jamaa na chadema sijui walikufanya kitu gani

πŸ˜„
 
We Jamaa na chadema sijui walikufanya kitu gani

πŸ˜„
gentleman,
hao vibaka wa kisiasa nchini kuna kitu wanaweza kufanya kweli, zaidi ya kutapeli wananchi pesa kidigitali, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…