Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Siyo kweli hiyo... napingaHaya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli hiyo... napingaHaya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
Namuona Mangula Kigwangala Rage kavaa balaghashia na jafoHivi ni Suleiman Jaffo yupo hapo nyuma kwenye hii picha?
Dah kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi kupandishwa cheo kama si muuajiHivi ni Suleiman Jaffo yupo hapo nyuma kwenye hii picha?
Dah kazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma historia ya TANUChadema wacheni kujidanganya mnasema mko organised wakati hata nyumba tu hamna, are you serious?
CCM siasa za vyama vingi zishawashinda...........Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
Ccm wana wivu kama nyegere! Hawajiamini, wana frustration, wako so disappointed na bahati mbaya hawawezi kuhoji! Wanakufa na tai shingoni. Ni wanafiki na kamwe hawawezi kuambizana ukweli! Uongo unageuzwa kuwa ukweli.
Wanategmea State tools ku-survive! Wana asili ya wizi! Muda wote wanaona kama vile watafumaniwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute sasa kwenye hio familia kuna wana CCM halafu mko kwenye kundi LA WhatsApp LA Familia hahahah ukipost tofauti na matakwa yao utawaona from nowhere oogh group ni LA familia sio LA Siasa......ujue ana stress huyu! Unacheka halafu hu-delete unazima data!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Mjumbe mwezi wa Tisa alikuja kwangu kunikopa! Nikamjibu kuwa asijali aende akakopeshwe na wana ccm wenzie, akasema namfanyia dhihaka! Nikamkumbusha kuwa si ulisema CCM ni ya Wanyonge?? Kanuna analiletea sijui ndio wanaita GUBU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkienda Bar ukivikuta vile "Vikada uchwara" vimekaa kwenye meza vinakunywa maji ya Kilimanjaro! Wanaongea kwa Sauti ya juu utadhani amekunywa bia za maana kumbe vimechangia maji ya buku unusu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvikute sasa vimevaa mashati ya kitenge ya kijani, na kofia na suruali nyeusi utadhani wana kwaya wa kwenye misiba! Wanacheka mdomoni lakini moyoni wana stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule mtoto wa JK yuko wapi siku hizi?? Baada ya uchaguzi alijirekodi akatukana sana hahahah shenzy
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikuta wanawake wamevaa madela ya kijani yameandikwa "michepuko sio dili# utadhani wana maana kweli! Kumbe wakitoka hapo wanakwenda kuiba pesa za VICOBA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ccm wana stress aiiseee! Na visirani sijapata kuona! Utadhani ni mpangaji mwenye zamu ya kusafisha choo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm muwalipe wale wazee wa watu wa EAC, acheni udhulumati aiseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikufanya nini Mpwa??
Amen
Sisi tusio na vyama tunaishi maisha ya raha sana. tuna washangaa makada wa ccm,
walipita mtaani kwangu kuomba mchango nikawapa walitaka kunilamba viatu nikawaambia acheni ujinga.
Sio bure wewe kichaa mzoefuHahahah hawa jamaa wana njaa balaa ila ukiwakuta wanaupepeta utadhani account zao zinasoma billions. Yaani watu hawajui watakula nini jioni lakini wana kelele hao. Halafu wao muda wote wanawaza siasa tu na kwao siasa ni kuichafua CHADEMA! Na kuichafua Chadema ni kusema Mbowe ameshindwa kuendesha chama au Chadema ni ya Kikanda......
Picha hii inastahili kuwekwa makumbusho.
Hivi mwenye jiwe ni nani?
Kama wewe? Ndio maana natokea Dodoma
Soma historia ya TANU
Picha hii inastahili kuwekwa makumbusho.
Erythro. unamwona huyo jamaa mwenye fulana nyekundu? Inawezekana wakati huu ni mkuu wa wilaya sehemu fulani.
Kama jiwe alilotupa yule bwana mwenye kibarakashi lingempata huyu anayefukuzwa, sidhani kama angeweza kunyanyuka alipoangukia.
Na huyu m-CHADEMA, hivi bado yupo ndani ya chama, au alishaunga juhudi?
Nina maswali mengi sana kuhusu picha hii.
Hiyo ni photo shop mkuu.
[/QUOTE
Kwa hiyo kila tukiona picha inayoonyesha yasiyofaa tuipe jina la "Photoshop"?
Watu na akili zenu mnaanza kuwa kama vichaa kwa kuokoteza visababu kwa kila jambo baya linalofanywa?