Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Kelele za chura hazizuii ngo'ombe kunywa maji.
Kwa hiyo kila tukiona picha inayoonyesha yasiyofaa tuipe jina la "Photoshop"?
Watu na akili zenu mnaanza kuwa kama vichaa kwa kuokoteza visababu kwa kila jambo baya linalofanywa?
Naona 'level' yako ipo chini sana aiseee, kuliko nilivyotegemea. Mchango wako wa kwanza niliojibishana nawe nilidhani upo kiwango cha kutosha. Baada ya hapo, unazidi tu kuonyesha vioja.Mkuu picha hata ilipopigwa haisemi ni wapi? yale yale mliyokuwa mnapigia kelele picha ya SGR ya kenya kwamba haikuwa na caption wakati iliandikwa kabisa ni kutika kwente TV. Nafahamu wengi huchagua wanachotaka kionekane lakini hilo haliwezi kubadilisha matakwa ya Watanzania kwa propaganda.
Wanaoamini hizo propaganda ni wale wanaotaka kutukamua. Muogope kama ukoma mtu anayewanyenyekea wazungu.
Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
=====
Ni chama dola au mkusanyiko wa kakundi kadogo ka watu kanatumia UJINGA na ULOFA wa watanzania kuwa KANAWAGAWIA MAENDELEO (in Lwaitama's voice)