CHADEMA haina chuki na CCM, lakini CCM ina chuki na CHADEMA hivi ni kwanini?

Chadema wacheni kujidanganya mnasema mko organised wakati hata nyumba tu hamna, are you serious?
 
Hiyo statement yako haiko sahihi,shabiki wa Yanga hawezi kuiombea mazuri Simba,vice versa is true........
 
Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?
CCM siasa za vyama vingi zishawashinda...........

Walichobakiwa nacho ni kulitegemea Jeshi la Polisi nchini kuwakamata viongozi wa Chadema na kuwafungulia mashitaka ya kubambika, kuwa ni wachochezi, wasaliti na wanawatumikia mabeberu kutoka nchi za nje!
 
Mkienda Bar ukivikuta vile "Vikada uchwara" vimekaa kwenye meza vinakunywa maji ya Kilimanjaro! Wanaongea kwa Sauti ya juu utadhani amekunywa bia za maana kumbe vimechangia maji ya buku unusu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uvikute sasa vimevaa mashati ya kitenge ya kijani, na kofia na suruali nyeusi utadhani wana kwaya wa kwenye misiba! Wanacheka mdomoni lakini moyoni wana stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule mtoto wa JK yuko wapi siku hizi?? Baada ya uchaguzi alijirekodi akatukana sana hahahah shenzy

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikuta wanawake wamevaa madela ya kijani yameandikwa "michepuko sio dili# utadhani wana maana kweli! Kumbe wakitoka hapo wanakwenda kuiba pesa za VICOBA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio wewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ccm wana stress aiiseee! Na visirani sijapata kuona! Utadhani ni mpangaji mwenye zamu ya kusafisha choo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm muwalipe wale wazee wa watu wa EAC, acheni udhulumati aiseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikufanya nini Mpwa??
Sisi tusio na vyama tunaishi maisha ya raha sana. tuna washangaa makada wa ccm,

walipita mtaani kwangu kuomba mchango nikawapa walitaka kunilamba viatu nikawaambia acheni ujinga.
Sio bure wewe kichaa mzoefu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha hii inastahili kuwekwa makumbusho.

Erythro. unamwona huyo jamaa mwenye fulana nyekundu? Inawezekana wakati huu ni mkuu wa wilaya sehemu fulani.

Kama jiwe alilotupa yule bwana mwenye kibarakashi lingempata huyu anayefukuzwa, sidhani kama angeweza kunyanyuka alipoangukia.

Na huyu m-CHADEMA, hivi bado yupo ndani ya chama, au alishaunga juhudi?

Nina maswali mengi sana kuhusu picha hii.
 
Wanasiasa huwa mnakua na matatizo ya akili kuna muda.
CCM na CDM ndio hawahawa watanzania hohehahe ila nashangaa wanashangaana uhohehahe wao.
Hakuna chama kinagawa utajiri tufanye kazi tu kwa bidii.
Hata kwenye vyama wanapewa kipaumbele wenye hela then masikini wanakua mashabiki kushangilia wenzao wanavyopiga hela kwa kutumia hisia za wajinga.
Siwezi kumuamini mwanasiasa na kama siwezi kumuamini mwanasiasa siwezi kujiuunga na chama cha siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Ole
Soma historia ya TANU

Ili iwe nini? ni ujinga kusema TANU hawakuwa na nyumba nk wakati tunaongelea vitu viwili tofauti. Tanu walikuwa hawapati hata senti tano kutoka kwa wakoloni Chadema wanapata ruzuku kia mwezi. nashangaa hii elimu uliyosoma sijui ulikwenda shule kusoma nini? Ni utumbo au minyoo?
 

Hiyo ni photo shop mkuu.
 
Hiyo ni photo shop mkuu.
[/QUOTE
Kwa hiyo kila tukiona picha inayoonyesha yasiyofaa tuipe jina la "Photoshop"?
Watu na akili zenu mnaanza kuwa kama vichaa kwa kuokoteza visababu kwa kila jambo baya linalofanywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…