CHADEMA haina katibu mwenezi?

Erythrocyte ndio mwenezi wao!
Hapana. NO. STOP.πŸ˜… Sema Mwenezi wa FAM sio TAL.

Huyo ndie alituharibia. Mbinu zake hazifanyi kazi na ni Hasara tu kwa Chama.
He is a persona non grata
Mtu ambaye hawezi kufika ofisini ama kupiga kura cc wa nn?
 
Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha lawama, tunataka kuona Chama kinaendeshwa kwa uwazi
Wameanza na Kampeni Mnyika awe kamishina wa Tume ya Uchaguzi!!! Yaani wameanza na wrong footing!!
 
Kwa vile kwa siku unaanzisha nyuzi zaidi ya kumi za Chadema utafaa wewe andika barua kwa Katibu Mkuu kuomba nafasi hiyo mimi nitakuwa mmoja wa wadhamini wako.
 
Lissu siyo kiongozi ni mwanaharakati. Kazi anayoweza ji kukosoa wenzake
 
Yaani hata mitandaoni wanamtegemea Erythrocyte ambaye ni chawa wa Mbowe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…