Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?Kwa nini usiyaandike haya maneno kwa herufi kubwa!!
Kila mTanzania anajua hili. Yule 'Masabuni' Waziri wa Mapolisi anafanya yake, hakuna jibu. Haya ndiyo yanayotia wasiwasi kubwa. Maneppy naye anakuja kujaribu kupima kina...
Lakini ninalojua sasa na kuliamini, iwe CHADEMA au mwingineyo, CCM mwisho wao umewadia.
Nitanyamaza
Na unajivunia ubatili huu?CCM hata kwenye kura za maoni wanaibiana ndio sababu Jimbo la Kawe huwa tunahesabu mbele ya Vyombo vya habari yaani television
Mtoa mada bado ana akili za kijima.Akili zake haziko kwenye dunia ya wastarabu.Anajifanya hajui kua uchaguzi wowote unapaswa kua wa haki,anayeshinda ashinde na aliyeshindwa ashindwe kwasababu jukumu kubwa ni kuwatumia wananchi sio matumbo yao.Mtoa mada amekosea sana. Kura hazipaswi kuibiwa hata kama baadhi ya vyama au wagombea hawana mawakala. Mimi naona hili ni jambo la aibu sana hata kulijadili. Ukisikia kuichafua nchi basi mfano mmoja ni kama huu wizi wa kura tunaoujadili. Hivi adhabu kwa mtu aliyepatikana na hatia ya wizi wa kura ni kifungo miaka mingapi?
Iko hivyo duniani kote ndio sababu tunamshangaa Mchungaji Msigwa kukimbia Chadema kwa sababu ya kuibiwa kuraNa unajivunia ubatili huu?
Lakini hawa ndio "askari wa miavuli" wanaotegemewa na 'chura Kiziwi'. Itakuwa ni ujinga wa ajabu sana kuwapuuza hawa wakati huu.Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?
Msigwa hakuibiwa kura bali kura zake hazikutosha. Utaibiwaje kura kwenye uchaguzi wa wazi wa watu wasiozidi 200? Huyo ndugu yako amewekewa offer mezani ambayo hakuweza kuikataa kwa njaa yake. Kavuna hela ndefu akiwaacha nyie wafia chama mumebaki mnapiga miayo.Iko hivyo duniani kote ndio sababu tunamshangaa Mchungaji Msigwa kukimbia Chadema kwa sababu ya kuibiwa kura
Msigwa ni form 4 failure!Hao uliowataja akiwemo Masauni ambaye alifukuzwa UVCCM kwa kashfa ya aibu ya kufoji umri, Wanafahamu kwamba Chadema haitakuwa na mswalie Mtume, Mtu aliyefoji umri anawezaje kuteuliwa Waziri tena wa Mambo ya Ndani, wizara inayohitaji mtu mwaminifu?
Hakunaga Mwanaccm wa kumnunua Mwanasiasa mwepesi kama mchungaji MsigwaMsigwa hakuibiwa kura bali kura zake hazikutosha. Utaibiwaje kura kwenye uchaguzi wa wazi wa watu wasiozidi 200? Huyo ndugu yako amewekewa offer mezani ambayo hakuweza kuikataa kwa njaa yake. Kavuna hela ndefu akiwaacha nyie wafia chama mumebaki mnapiga miayo.
Uchaguzi ukifanyika 2025 CCM watapigwa show mpanka washangae , sio maneno yangu bali hataHuo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana 🐼
Msigwa la 7 baadae akafanya mitihani ya Taasisi ya Elimu ya Watu WazimaMsigwa ni form 4 failure!
Hiyo habari ya Lissu kumjoin Mbowe ni stori tu,kwani haina mantiki kabisa yaani Msigwa wa kumuwekea Lissu conditions? Msigwa kapigwa kono la nyani,si unajua masikini hana kiapo.Hakunaga Mwanaccm wa kumnunua Mwanasiasa mwepesi kama mchungaji Msigwa
Mchungaji alikasirika baada ya Tundu Lisu kumjoin Mbowe Karatu
Msigwa alikuwa beki tatu wa mchungaji mmoja toka SA na alivyorudi kwao akamchukua Msigwa kumsomesha theology ngazi ya certificate,na ndiyo chanzo cha kujiita Mchungaji lakini hajawahi kusimama madhabahuni ni tapeli tu.Msigwa ni form 4 failure!
ACHA KUJIZIMA DATA HATA WATOTO WA PRIMARY WANAJUA CCM NI MAJIZI YA KURA.Huo ndio ukweli Chadema haina Uwezo wa kusimamisha Wagombea Ubunge Majimbo yote achilia mbali kuweka Mawakala
Fikiria Majimbo kibao Wabunge wa CCM wanapita bila kupingwa maana yake kulikuwa hakuna washindani
Nini kifanyike?
Chadema ishushe Ruzuku hadi majimboni Ili kuhamasisha Wapiga kura badala ya Ruzuku yote kulipia Chopa wanayopanda Watu Wawili tu
Ahsanteni Sana 🐼