Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
- Thread starter
-
- #21
Ingieni msituni basi. Sio kukaa na kutupigia kelele kila siku. Mnachosha..... Mi nasema kuitoa ccm ni rahisi sana ila wenye nafasi za juu za chadema wamezidisha mno hekima. Yaani kwa katiba hii hii ccm wanawezekana kutoka tu. Kama walivyotoka wazungu wakiwa na katiba yao mkononi.
Acha profesa Safari kusema, hata angesema Lisu lakini ukweli hauzuiwi na maoni ya mtu yoyote.
Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.
6:25 "....kama ukisoma magazeti haya kuhusiana na mheshimiwa Sumaye na nini, na huyu Cecil Mwambe; unaona kwamba watu wakitaka kugombea na nini....inaweza kuonekana kama loose talk, lakini tusichukulie kirahisi rahisi kiasi kile. Then ni kwamba tufanyie kazi. Kama watu wanalalamika tusinanhii, sio kama jongoo unalitupia pembeni, hapana lazima kufanyia kazi vitu kama vile, hapa tusidharau..." Prof. Safari.
Hii mada inahusu maoni ya Prof. Safari kuhusu Chadema. Hayo mambo ya CCM tujadili siku nyingine....CCM na nyinyi mumruhusu Membe achukue fomu za kugombea Uenyekiti wa chama...
Hii mada inahusu maoni ya Prof. Safari kuhusu Chadema. Hayo mambo ya CCM tujadili siku nyingine.
Nikuambie mara ngapi kuwa hii mada inahusu maoni ya Pro. Safari kuhusu Chadema; wewe vipi lakini?..ccm na nyinyi ruhusuni nafasi ya mwenyekiti iwe na wagombea wengi..
Huna jipya,hoja kubwa nilikuwa tume huru ya uchaguzi.Acha kumlisha maneno6:25 "....kama ukisoma magazeti haya kuhusiana na mheshimiwa Sumaye na nini, na huyu Cecil Mwambe; unaona kwamba watu wakitaka kugombea na nini....inaweza kuonekana kama loose talk, lakini tusichukulie kirahisi rahisi kiasi kile. Then ni kwamba tufanyie kazi. Kama watu wanalalamika tusinanhii, sio kama jongoo unalitupia pembeni, hapana lazima kufanyia kazi vitu kama vile, hapa tusidharau..." Prof. Safari.
..kweli.
..CCM na nyinyi mumruhusu Membe achukue fomu za kugombea Uenyekiti wa chama.
..na Tume Huru ya Uchaguzi, anayezuia isipatikane ni CDM au CCM?
..ukiwa mwana CCM unaweza kutueleza kwanini hatuna tume huru ya uchaguzi? Je, ni HAKI?
Hahaha Ufipa imeangamizwa na laana ya Dk Slaa kumuita Dk mihogo.
Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.
Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.
Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.
Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
6:25 "....kama ukisoma magazeti haya kuhusiana na mheshimiwa Sumaye na nini, na huyu Cecil Mwambe; unaona kwamba watu wakitaka kugombea na nini....inaweza kuonekana kama loose talk, lakini tusichukulie kirahisi rahisi kiasi kile. Then ni kwamba tufanyie kazi. Kama watu wanalalamika tusinanhii, sio kama jongoo unalitupia pembeni, hapana lazima kufanyia kazi vitu kama vile, hapa tusidharau..." Prof. Safari.
Acha kulisha watu udenda mchafu kiongozi. Kwani mbowe anagawa uongozi kama kule chama kingine ambako huwa hawagombei? Mbowe hana cheo cha kugawa viongozi wote wanachaguliwa sasa amempaje Lisu ukaimu. Kila mtu kachikua form alipoona anatosha. Na uchaguzi tar 18 Lisu sio naibu mwenyekiti bali kwa sasa ni mgombea.
Ufipa inaangamizwa na 'shetani' lkn kwa kuwa Ufipa wako na Mungu lazima shetani atashindwa tu kwani kwa historia shetani mara zote hushindwa.Hahaha Ufipa imeangamizwa na laana ya Dk Slaa kumuita Dk mihogo.
Hahaha Ufipa imeangamizwa na laana ya Dk Slaa kumuita Dk mihogo.
Kumkatia mirija mtu ni process we unadhani ni suala la kulala na kuamka tu. Soma historia vema. Hata kumtoa mzungu hapa nchini halikuwa jambo rahisi kama unavyodhani. Ilichukua muda mrefu sana Vituo vingi vya police, mahakama na Magereza ni vyombo vilivyoanzishwa na mkoloni kuwafunga na kuwanyamazisha wadai Uhuru ili waendelee kukaa madarakani lakini ilishindikana. KUMBUKA, UDHARIMU HAUJAWAHI KUISHINDA HAKI.Ingieni msituni basi. Sio kukaa na kutupigia kelele kila siku. Mnachosha.
Kumkatia mirija mtu ni process we unadhani ni suala la kulala na kuamka tu. Soma historia vema. Hata kumtoa mzungu hapa nchini halikuwa jambo rahisi kama unavyodhani. Ilichukua muda mrefu sana Vituo vingi vya police, mahakama na Magereza ni vyombo vilivyoanzishwa na mkoloni kuwafunga na kuwanyamazisha wadai Uhuru ili waendelee kukaa madarakani lakini ilishindikana. KUMBUKA, UDHARIMU HAUJAWAHI KUISHINDA HAKI. Hata leo magereza mengi wanayofungwa wapinzani ni yale walojenga wakoloni. Na wanatumia mbinu zilezile zilizowashinda wenzao. Hata wao watashindwa amini nakwambia ni jambo la wakati tu. Ila ushauri wako wakitoto sana. Hvi unawezaje kuingia msituni. Kwanza kufanya nini? Wakati watu wako mjini na ofic zinazotakiwa zipo mjini? Hiyo mbinu ya kizamani sana tu.Ingieni msituni basi. Sio kukaa na kutupigia kelele kila siku. Mnachosha.
Nimeamini kwamba ukiwa ccm nilazima ukubali kuondolewa Ubongo wako ili uweze ku fit na matakwa ya ccm, yaani unakuwa unatumia akili za ccm nza sio zakoNimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.
Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.
Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.
Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?