Ni kweli tume huru ya uchaguzi ni njia sahihi, lakini kusema kuwa wapinzani hawajawa serious na jambao hilo, si sawa sana. Tume ya uchaguzi iko kikatiba, hivyo madai yoyote juu ya tume ya uchaguzi lazima yaende na madadiliko ya katiba. Mchakato wa katiba uliishia wapi, uligeuzwa wapi ?
Tatizo la watanzania tulio wengi akili zetu zimedumaa
1. Katiba mpya imefichwa ndani ya kabati
2. Tume ya uchaguzi mali yao
3. Siasa marufuku
4. Mikusanyiko maruku
Unaanzaje kufanya madai ya mambo mazuri ya msingi kwa Taifa?
Unaweza kupotezwa au kuishia wanakojuwa wao.
Hoja zingine mtu anapochangia unashindwa kuelewa kama yupo timamu, alitekwa nakushinikizwa aongee au mpuuzi!