CHADEMA haiwezi kwenda Ikulu - Prof. Safari

CHADEMA haiwezi kwenda Ikulu - Prof. Safari

Vti maalum alikuwa anafanyaje kama sio kugawa. Mpaka sasa tundu hakuwahi kusema anagombea umakam, lakini kafosiwa ndo maana bado amekaa kimya anatafakari.
Kwani lini ali aliwahi kusema anataka wenyekiti au siku hizi umekuwa msaidizi wake. Hajawahi kusema chochote kuhusu umakamu wala wenyekiti ila tumeona ameamua kuchukua fomu ya makam we unasema kalazimishwa. Kwa mazungumzo gani au unadhani mawazo yako ni reliable source ya anachokika Lisu.
 
Huu ni ukweli kabisa...CHADEMA kwenda Ikulu ni vigumu kwanini?
Kutokuwepo Tume Huru ya Uchaguzi
CCM kutokua tayari kukubali kushindwa
Matumizi ya vyombo vya dola na moto
Yote aya anaifanya CHADEMA iwe vigumu kwenda Ikulu
 
..kweli.

..CCM na nyinyi mumruhusu Membe achukue fomu za kugombea Uenyekiti wa chama.

..na Tume Huru ya Uchaguzi, anayezuia isipatikane ni CDM au CCM?

..ukiwa mwana CCM unaweza kutueleza kwanini hatuna tume huru ya uchaguzi? Je, ni HAKI?
Hiyo hoja ya Membe ipo kwenye ''nyuzi nyingine'' ni vema ukajikita kwenye hoja
 
maoni yako boss...
Prof amesema ukweli ama amekosea?.

Sina tatizo na alichosema Profesa Safari hasa ukizingatia ameamua kusema hilo sasa. Cdm haina tatizo la wapiga kura wanaoweza kuwapa ushindi, tatizo liko kwenye mfumo mzima wa ushindani, kama mfumo wa ushindani utaendelea kuwa huu huu ambao mwenyekiti wa ccm ambaye huwa ni rais kuendelea kuwa juu ya sheria kikatiba, na kuchagua viongozi wote wa taasisi za kimamlaka, kama mahakama, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mwenyekiti wa tume nk, kisha wakuu hao kudhani wana jukumu la kulipa fadhila za aliyewateua, ni dhahiri sio cdm tu, bali hakuna chama chochote cha upinzani kitaingia madarakani kwa njia ya amani. Kama mtazamo wa profesa Safari uko kwenye ukweli huu na sio hasira, basi yuko sahihi. Mimi nitaendelea kuhimiza watanzania kutokushiriki uchaguzi wowote katika mazingira ya sasa.
 
Unaonyesha kipaji kwenye kupiga ramli chonganishi
Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.

Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.

Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.

Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
 
6:25 "....kama ukisoma magazeti haya kuhusiana na mheshimiwa Sumaye na nini, na huyu Cecil Mwambe; unaona kwamba watu wakitaka kugombea na nini....inaweza kuonekana kama loose talk, lakini tusichukulie kirahisi rahisi kiasi kile. Then ni kwamba tufanyie kazi. Kama watu wanalalamika tusinanhii, sio kama jongoo unalitupia pembeni, hapana lazima kufanyia kazi vitu kama vile, hapa tusidharau..." Prof. Safari.

Tatizo kubwa ni jinsi nyinyi ccm mnavotafsiri

Kila mtu anao uhuru kamili wa maoni nje ya ccm

Ndani ya ccm hakuna mtu kuongea wala
kukosoa

1. Bernard

2. Abdullahamani

3. Mnauye

4. Makamba junior + senior

5. Ngeleja

6. Nknk

Atakayeinua kinywa chake yupo mashakani.
 
Kwani lini ali aliwahi kusema anataka wenyekiti au siku hizi umekuwa msaidizi wake. Hajawahi kusema chochote kuhusu umakamu wala wenyekiti ila tumeona ameamua kuchukua fomu ya makam we unasema kalazimishwa. Kwa mazungumzo gani au unadhani mawazo yako ni reliable source ya anachokika Lisu.

Umeona anachukua au amechukuliwa?
 
Hiyo hoja ya Membe ipo kwenye ''nyuzi nyingine'' ni vema ukajikita kwenye hoja

..hoja yake ni kwamba hakuna Tume huru ya uchaguzi.

..sasa aliyesababisha tusiwe na tume huru ya uchaguzi ni ccm au cdm?

..ccm na wabunge wengi, hivyo dhamana ya kutupatia tume huru mnayo nyinyi.
 
Prof ameongelea tatizo ndani ya chadema..
Ccm wala JPM sio tatizo... Its just as excuse.

A. Prof anaongelea maamuzi ya chama ya kutodai kwa nguvu kudai tume huru ya uchaguzi

B. Viongozi wa vyama vya upinzani esp chadema hawafanyi upinzani wa kweli kulinda maslahi binafsi. Operation Ukuta ilizimwa na Mbowe.

C. Vyama vya upinzani esp chadema hakijaweza kujenga trust kwa vijana na ku mobilize nguvu za umma kuitoa ccm na JPM hata kwa mawe na maandamano. Mapokezi ya Lowassa na kutetea ufisadi na kupinga ovyo kila kitu kumepoteza maana ya upinzani.

D....

E.
Sina tatizo na alichosema Profesa Safari hasa ukizingatia ameamua kusema hilo sasa. Cdm haina tatizo la wapiga kura wanaoweza kuwapa ushindi, tatizo liko kwenye mfumo mzima wa ushindani, kama mfumo wa ushindani utaendelea kuwa huu huu ambao mwenyekiti wa ccm ambaye huwa ni rais kuendelea kuwa juu ya sheria kikatiba, na kuchagua viongozi wote wa taasisi za kimamlaka, kama mahakama, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, mwenyekiti wa tume nk, kisha wakuu hao kudhani wana jukumu la kulipa fadhila za aliyewateua, ni dhahiri sio cdm tu, bali hakuna chama chochote cha upinzani kitaingia madarakani kwa njia ya amani. Kama mtazamo wa profesa Safari uko kwenye ukweli huu na sio hasira, basi yuko sahihi. Mimi nitaendelea kuhimiza watanzania kutokushiriki uchaguzi wowote katika mazingira ya sasa.
 
Prof anaisema chadema...
Unahamisha hasira kwa ccm..

Ccm mbaya tuonyesheni chadema ya demokrasia..[emoji16]
Tatizo kubwa ni jinsi nyinyi ccm mnavotafsiri

Kila mtu anao uhuru kamili wa maoni nje ya ccm

Ndani ya ccm hakuna mtu kuongea wala
kukosoa

1. Bernard

2. Abdullahamani

3. Mnauye

4. Makamba junior + senior

5. Ngeleja

6. Nknk

Atakayeinua kinywa chake yupo mashakani.
 
Nimeanza kuamini kuwa wangwe walimpiga vita baada ya kuweka nia ya kugombea.

Mbowe ni mtu hatari kuliko hatari yenyewe.

Serikali iwe macho sana na huyo Mbowe.

Hata umaarufu wa Lisu huenda ulitiliwa mashaka na Mbowe.
Kwa nini ampe umakamu wa mwenyekti na sio Mwenyekiti?
Hujaripoti polisi mashaka yako? au na wewe mwanasiasa tu...
 
Mbona walizoea kwenda Ikulu kunywa chai na biskuti wakati wa JK. Magu kakaza vyuma wanalialia ati wanachema rais hata hawakaribishi kwenda kunywa chai kisa amewakumbatia viongozi wa kata.
 
Ni kweli tume huru ya uchaguzi ni njia sahihi, lakini kusema kuwa wapinzani hawajawa serious na jambao hilo, si sawa sana. Tume ya uchaguzi iko kikatiba, hivyo madai yoyote juu ya tume ya uchaguzi lazima yaende na madadiliko ya katiba. Mchakato wa katiba uliishia wapi, uligeuzwa wapi ?
 
Mbona walizoea kwenda Ikulu kunywa chai na biskuti wakati wa JK. Magu kakaza vyuma wanalialia ati wanachema rais hata hawakaribishi kwenda kunywa chai kisa amewakumbatia viongozi wa kata.

Huo ni mtazamo wako.

Eleza vizuri ni wapi demokrasia imeminywa?
 
Back
Top Bottom