CHADEMA hakubaliki singida?

CHADEMA hakubaliki singida?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA?

Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima
 
Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA?

Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima

..Lissu anakubalika TANGANYIKA nzima.

..Mama Abduli anakubalika Kizimkazi tu.
 
Nimehesabu leo pekee, mtoa mada ameshaandika nyuzi 3 zote za kumdiss Lissu na harakati zake za Siasa 🙌

Kesho pia tutegemee nyuzi nyingine Tena

Hii yote ni baada ya aliyempenda awe chairman hajawa 🙌
 
Back
Top Bottom