M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Feb 9, 2025 #1 Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima
Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 9, 2025 #2 Malaria 2 said: Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima Click to expand... ..Lissu anakubalika TANGANYIKA nzima. ..Mama Abduli anakubalika Kizimkazi tu.
Malaria 2 said: Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima Click to expand... ..Lissu anakubalika TANGANYIKA nzima. ..Mama Abduli anakubalika Kizimkazi tu.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Feb 9, 2025 #3 Nimehesabu leo pekee, mtoa mada ameshaandika nyuzi 3 zote za kumdiss Lissu na harakati zake za Siasa 🙌 Kesho pia tutegemee nyuzi nyingine Tena Hii yote ni baada ya aliyempenda awe chairman hajawa 🙌
Nimehesabu leo pekee, mtoa mada ameshaandika nyuzi 3 zote za kumdiss Lissu na harakati zake za Siasa 🙌 Kesho pia tutegemee nyuzi nyingine Tena Hii yote ni baada ya aliyempenda awe chairman hajawa 🙌
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Feb 9, 2025 #4 Malaria 2 said: Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima Click to expand... Kwani haujui kuwa kura ziliibwa
Malaria 2 said: Ukiondoa Lissu, nani mwengine Kawa mbunge wa Singida kupitia CHADEMA? Lissu yeye kwao tu. Tofauti na maalim.seif alikubalika Pemba nzima Click to expand... Kwani haujui kuwa kura ziliibwa