CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

This is good, chelewa ufike, hili lilipaswa kufanyika toka 2010 ili 2015 Chadema ichukue nchi, japo sasa its already too little too late, but something is better than nothing.

P
 
Nafasi zilizobaki ni UDAS TUU ila kumbuka ukiwa ccm ukiitukana CHADEMA huteuliwi Ila ukiwa CHADEMA UKIITUKANA ccm unanunuliwa kwa pesa na cheo unapewa
 
Mkuu Pulchra Animo , kuwashauri hawa watu, ni you are just wasting your time!, hawashauriki!.

Chadema ni sikio la kufa
tena tuliwaambia siku nyingi...
P
 
Hawa jamaa zangu sijui kwanini huwa hawajipangagi!.
Hata katika hili suala la wabunge 19, Chadema hawakujipanga!, hivyo sasa watapangwa!.
Kwa vile Chadema ndio the main opposition party, as the ruling party in waiting, kama mambo ndio hivi, inategemea nini?.
P
 
Mr mayala a.k.a NJAA embu tufafanulie kidooogo kuhusu tukio la 2017 bunge kubishana na mahakama kuhusu wabunge wa CUF ikakataa kuwapokea ...maana wewe miaka yote ni chadema tu maskini ya Mungu hamnaga vyama vingine?
 
Huyu pascal njaa! teuzi ataendelea kuziskia kwa wengine hata huko lumumba zile buku saba saba skuizi hawampi wamemgundua jamaa ni poyoyo na mpuuzi nchini. hivi kweli kwa think tank walio chadema wakiongozwa na kamanda wa mapambano ya kidemokrasia Tanzania mheshimiwa freeman mbowe leo hii pascal njaa eti anajua na ni bora kuwazidi wote leo hii poyoyo njaa anayaona mawazo yake ni bora kuliko maamuzi ya taasisi ahhhhh kweli Tanzania bado tunasafari Ndefu sana yaani huyu ni mwandishi wa udaku ilitakiwa avalishwe gauni eti na anafamilia kabisa sijui familia yako bwana pascal njaa inajivunia nini toka kwako huenda ukirudi kwako watoto wanakufananisha na bata mbovu maana huna cha kuwapa wala kuwashauli zaidi kwamba wanajua baba yao ni mbeya wa nchi yaani we jamaa ni hopeless nchi hii, akili yako ya ujira wa 7000 kwa siku unainanga kila kukicha chadema, wewe umeifanyia nini nchi hii huenda huna hata gari wala miradi ya maana mheshimiwa mbowe na chadema kiujula wana legacy kubwa sana nchi hii leo hii we nani wa kuibeza chadema maana kutwa unapayuka hovyo hovyo binafsi maisha yako ni magumu sana tena huna kitu kwa upuuzi wako wa kijinga leo hii unaenda kuwa babu wa wajukuuu lakini ni babu mpumbavu asie na maono wala fikra jitu zima kutwa lipo linaropoka hovyo” jipige kifua mala tatu afu Sema “nchi hii mimi ni utuporo mtupu tena uharo”. Nchi inakabiliwa na mambo mengi kama uchumi mbovu, miundombinu hafifu, ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, umaskini, ujinga (kundi hili wewe ni no.1), huduma hafifu za afya, elimu iliyo nje ya wakati, matatizo ya umeme, wizi na ufisadi, riba kubwa katika mabenki, matatizo katika kilimo, ukosefu wa nyenzo za uvuvi, hatuuzi kama tunavonunua, ukosefu wa viwanda vikubwa, sekta ya utalii kupokea wateja wachache, ungetumia hata 5% katika kujadili machache katika haya ungeokoa nchi kwa mawazo ya wadau ila mtu mzima usie na matumaini kutwa kutumia mda wako na rasilimali za buku saba saba toka lumbumba ili uwaponde na kuwakashfu chadema na viongozi wao, wewe binafsi umeifanyia nini nchi hii kama sio uharo na upuuzi kisa ujira wa 7000
 
Hili tumewaambia sana humu, they never learn!. CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! na kuhusu hii tabia yao ya kususa susa, pia tuliisha wapaka humu Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
P
 
Paskali, CDM Wana upungufu mkubwa sana ktk mkakati thabiti wa kuchukua Dola na kupata viongozi.

Ikitokea tumeupata Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA,

Sitoshangaa MGOMBEA urais wa CDM akatoka CCM!!!!
 
Siku zote nimekuwa nawalaumu kuwa hawakujipanga, sasa tusubirie siku ya Jumamosi kama Mbowe atakubali wajipange au...
P
 
Chadema ya Mbowe haikujipanga, Lissu kama Lissu hana uwezo wa kuipanga Chadema ikajipanga, he needs able people kumsaidia kujipanga!. Chadema ina hitaji ma strategists kupanga stratejia za ushindi.

Kitu kilochomfanya TAL kumshinda, FAM kipo na kinaweza kumfanya TAL kumshinda mgombea wa CCM, 2025 despite matumizi ya mbinu zote za KInapenape, lakini hata akishinda urais, je ana able people wa kuunda serikali?.

Chadema sasa wanajipanga, wajipange!.
P
 
Pascal dunia imebadirika sana. Achana na hizi fikra mfu zinazotumika na CCM kuwarubuni na kuwatisha wajinga wa Tanzania.

Nchi hii ina resources nyingi sana za kuendesha Serikali. Ni ufedhuli tu wa CCM yenu kutopendelea smart people na kuendekeza machawa ndo unawafanya muone upinzani hakuna watu.

Kwa kifupi nchi inahitaji Katiba Bora inayojenga mifumo imara tu kuweza kujiendesha.

Lissu akiweza kutupatia Katiba Bora imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…