Hii ndiyo sura halisi ya wana Chadema walio wengi ukiwashauri wao wanakutukana.Pumbavu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo sura halisi ya wana Chadema walio wengi ukiwashauri wao wanakutukana.Pumbavu kabisa
Kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA. Kanuni za uchambuzi, hasa inapokuja suala la prediction, mchambuzi anatakiwa aseme maneno ambayo mtu mwengine anaweza kusema hapana, yaani falsification. Hili umepatia. Lkn prediction hiyo lazima itokane na masuala ya kweli (real/true). Kwa bahati mbaya hapa siku zote huwa unakosea. Inakuwa vigumu mtu kukuelewa na hoja zako kwa mazingira ya sasa ya kisiasa. Hebu jitahidi unapofanya uchambuzi uwe sober na impartial. Inapendeza mtu anaposoma uchambuzi ambao umefuata kanuni; vinginevyo unakuwa chapwa.Wanabodi,
Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at all!, 2015 is just around the corner!, I'm afraid, by the time Chadema ita realize imefanya nini, ilipaswa kufanya nini, sasa inafanya nini, na 2015 itafanya nini!, it will be too little too late!, huu ni ukweli mchungu sana kumeza, kuwa Chadema Haikujipanga (jana), Chadema Haijajipanga (leo), Chadema Haijipangi (kesho), na amini nawaambieni!, Chadema Haitajipanga (2015), hivyo huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza kuwa 2015, ni CCM Tena!.
Tangu 2010, Chadema Hamkujipanga!.
Mara Baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa 2010, uliofufua kwa kiwango kikubwa matumaini ya uwezekano wa Chadema kuchukua nchi, 2015, mimi ni miongoni mwa wana jf wa mwanzo kutinga viwanja vya Bunge Dodoma, kuwapongeza baadhi ya makamanda waliokata vigogo wa CCM!, nikatoa tathimini yangu kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Chadema imeshinda uchaguzi, sio kwa sababu ilijipanga vizuri!, no!, nikasema Chadema imeshinda uchaguzi katika baadhi ya maeneo kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!. hapa Chadema niliwaambia hivi
Hakuna ubishi kuhusu kitakachompata yoyote atakayeteta ukosoaji wa Chadema humu jukwaani, na mimi ndicho kilichonikuta, na miongoni mwa walionijibu uzi wangu huo, ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibrod Silaa, alinijibu hivi
Kiukweli baada ya jibu hili, mimi nikaishia kuwa mdogo tuu kama piriton, ukijumlisha na comments wa wengine, kwa kweli nilikuwa kama sisimizi!.
Hii maana yake ni nini, Chadema wakiambiwa ukweli, badala ya kusikiliza hoja na kuzifanyia kazi, wao ndio kwanza wana react na hawasikii!, kwenye uzi huo, hoja kuu nilisema Chadema isiendelee kutegemea kutwaa majimbo kwa sababu tuu CCM imechokwa!, ili Chadema ishinde kihalali very good clear and sweet victory, ni pale wananchi wanapokuwa wamehamasika na kufanya informed decision kuwa tunaichagua Chadema kwa sababu hizi, hizi na hizi, hivyo Chadema lazima ije na mkakati, itafanya nini tofauti na kinachofanywa na serikali ya CCM, ili wanaoichagua, wajione wanachagua chama mbadala.
CCM Imechokwa:
Kwenye uzi huo nilisema CCM imechokwa lakini imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali sio kwa sababu inapendwa sana!, no way, nilisema CCM imekuwa ikishinda chaguzi nyingi kutokana na mazoea, huku iki take advantage ya ignorance ya Watanzania, hawana choice to choose from kwa kushindanisha sera, kutokana na ujinga, na umasikini uliotopea, wengi wa wapiga kura, hawanauwezo wa kushindanisha sera, wala kujua wanachagua kwa sababu gani, bali wanachagua kwa "shibe" ya leo!, yeyote atakayekushibisha leo, huyo ndie!, hata kama atakulaza tena njaa miaka mitano ijayo, na ikifika, kama kawaida atarudi tena na T-shirt na kofia na ile shibe ya siku moja!, tutaichagua tena!, kama sio ignorance ni nini?!.
Kwenye uzi huo nilipendekeza dawa ya kuitibu CCM iliyochokwa kama ifuatavyo
Hakuna mwana CCM yoyote aliyekanusha kuchokwa kwa CCM, lakini haukupita muda, hiyo dose niliyoipendekeza ilidungwa CCM!, wala sijitambi kuwa CCM inafuatilia jf, au ndio chanzo cha mabadiliko hayo chanya, ukiona mbeba pakacha linavunja, ukamshtua mbebaji kuwa pakacha linavuja, akasimama kivulini na kuliziba kisha akaendelea na safari yake!, wewe unaweza kujiaminisha kuwa nimemsaidia yule mbeba paka kumtaarifu kuvuja kwa pakacha lake!, kumbe ukweli ni kuwa mbemba pakacha ulijua pakacha linavuja lakini akapanga ngoja afike kivulini ndipo alitue kuliziba na kupumzika kidogo!, hivyo useme usisema mabadiliko yangekuja!.
Kufuatia mabadiliko ya sasa ya CCM, 2015, Chadema isitegemee majimbo ya ubwete wa CCM chovu, na tena isipokuwa makini na baadhi ya wabunge wake haswa wale "vichaa!", CCM inaweza kuwapokonya, only save kwa baadhi ya maeneo ambayo machalii wa kipande hiyo, vichaa ndio huwa machaguo yao,hivyo kwa kadri unavyozidi kuwa kichaa ndivyo unavyozidi kupendwa na kukubalika!.
Uso kwa Uso na Dr. Slaa!.
Niliwahi kwenda ofisini kwa Dr. Slaa for official visit, wakati huo nikiwa utumwani kwenye utumwa fulani, hivyo unapokuwa mtumwa, ukitumwa mahali, unawakilisha kile ulichotumwa na bwana wako aliyekutuma, hivyo sijihesabu kama mimi nilionana na Dr. Slaa!.
Siku tulionana rasmi na kwa nafasi, ni pale tulipokutana tuu mahali, sote tukiwa safarini, tukatokea kujipumzisha mahali na kupata mlo, hivyo kukutana kwa bahati!.
Kwa vile mimi ni mwandishi, kwanza nilimkabili, na kuamsalimia huku nikitanguliza kuomba radhi, maana mahali hapo ni privacy ya mtu, na watu wako na watu wao, hivyo mwandishi kupenyeza penyeza pua its uncalled for!, ila nikakaribishwa!.
Nakumbuka vuzuri nilimweleza resevations zangu kwa "Chadema kutokujipanga" na haswa kuhusu utaratibu wake wa kupata viongozi wake na wagombea!.
Nilisema nimenote wengi wa wagombea wao, ni wagombea sadakalawe!, baada ya kukosa kwenye ile sadalawe ya kule, then hukimbilia huku na ndivyo Dr. alivyoingia Chadema. Nikasema huwezi kushinda uchaguzi na kushika dola kama hauna able people behind!. Nikashauri, kama kweli Chadema kina nia ya dhati ya kushika dola 2015, lazima kitayarishe watu, by investing in people, hakiwezi kushika dola kwa kuwategemea wagombea wanaopatikana kwa game of chance!. Lazima Chadema ifanye "head hunting" ya able people na ikikosa "able people", ifanye hata spotting na grooming from grassroot, ili ijenge kada yake ya viongozi iliyowalea na kuwakuza kichadema, ambao hawa watakuwa ni waaminifu na tegemeo lake, na sio kusubiria "makapi" ya CCM!.
Kusema ukweli, Dr. Slaa alinieleza a very fine na promising strategies, zikiwemo succession plan, pia alinieleza msimamo wake binafsi kuhusu kugombea tena urais 2015!, hivyo mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanaujua msimamo wa Dr. Slaa kwenye kugombea urais 2015 from the horses mouth!. (Naomba nisiutaje humu kwa sababu mazungumzo yetu yalikuwa informal hivyo ni off the record).
Chadema Haijajipanga!.
Matokeo mabaya Chadema katika baadhi ya chaguzi ndogo za ubunge na udiwani, ni uthibitisho kuwa Chadema bado haijajipanga!. Hata ushindi wa Chadema Arumeru kwa kijana Nasari, umechangiwa na support ya vita vya wenyewe kwa wenyewe CCM ndani kwa ndani kulikomoa chaguo la yule "jamaa yangu". Kama wengi mtakuwa na maswali, Chadema ijipange kwenye nini, mnaweza kunitembelea hapa nimeeleza kila kitu!. Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Chadema Hamjipangi!.
Hata baada ya kipigo kitakatifu cha Kalenga, kuna kitu nimewashauri Chadema kuhusu uchaguzi wa Jimbo la Chalinze!, ili Chadema kujionyesha chenyewe ni kidume, au kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, bado itang'ang'ana na kuendelea kutumbukiza pua Chalinze!, angalau kwa Kalenga picha ilikuwa haisomeki sana!, Chalinze ndio maeneo ya strong hold ya wale vibonde niliowazungumzia kule ambao ndio mtaji wa CCM!. Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze: CHADEMA Muungeni mkono mgombea ...
Uchaguzi kama vita!, ukijijua huwezi kushinda, ule msemo wa "no retreat, no surrender" wa "kupigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike!" huo ndio huo unaitwa "ushujaa!" alikufa vitani akiipigania nchi yeke!, mkiisha malizika wote, adui atapata walk over victory kuitwaa nchi yenu yote na nyinyi nyote kugeuka mateka!. Wapiganaji makini ni wale wakishajipima na kujiona hawawezi, hurudisha majeshi nyuma (retreat) na kujipanga upya!.
Chadema wakikubali ku retreat na kujipanga upya, wata boost kidogo morali ya wapiganaji wake, kiliko kuendelea kupeleka vikosi vyake vitani na kuishia kuwa wiped!.
Na Kwa 2015!, Chadema Haitajipanga!.
Kwa maoni yangu, Bunge hili Maalum, likifuatiwa na kikao cha Bunge, then kura ya maoni, then uchaguzi wa serikali za mitaa!, then uchaguzi wa ndani wa Chadema (uongozi uliopo madarakani kwa mujibu wa katiba ya Chadema, umalizika mwaka huu baada ya kuuongezea mwaka mmoja!, katiba ya Chadema haikutoa any possibility ya extra extension, japo uongozi wa Chadema unaweza kumuandikia Msajili na kulitaja Bunge Maalum ni "force majeure" hivyo kutofanya uchaguzi wake wa ndani kihalali kabisa!". Ndipo ufuate uchaguzi mkuu, huku kuna ile pending case!!. Kikweli kabisa, my honest opinion, kwa time iliyobakia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015, mambo yaliyopo mbele ya Chadema ni too much! kwa Chadema kujipanga and the time is too little too late!, hivyo naiona wazi kabisa CCM ikirudi kujichukulia nchi kiurahisi kama imeokota!.
Hitimisho: Chadema na "Karma!"
Namalizia kwa kusisitiza, Chadema katika kupanga mambo yenu, zingatieni sana hii kitu inaitwa "Karma", msiidharau kabisa!, karma is real!.
Do the right thing or else!.
Poleni kwa ya Kalenga!.
Jipangeni
Paskali
NB. Paskali, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!, bali ni mtazamaji mzuri tuu wa hii game la siasa kazi yake ikiwa kutazama tuu!, na kueleza, na kutoa ushauri wa bure!.
Anzisha Chama ukajipange uwe mfano kwa Chadema...Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Kupambana na ccm au police?Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Toa suggestionMimi nasema ukweli wote toka moyoni. NAKUUNGA MKONO PASCO! Upinzani umenichosha kabisa sasa. Kila siku sisi tu ndo tunategwa na kuingia mtogoni kama MAZUZU! ccm ina strong system na kama tunataka kuwaondoa lazima kwanza tukubali hilo, kisha tuwena mikakati madhubuti yenye uhalisia kuwakabili. Ninaanza kuwa na mashaka na uhalisia wa real identity ya viongozi wa upinzani. Je! Nikweli hawa ni wapinzani au wako kwenye mission ya kukamata tu watu akili ili mambo yaende?????? Le me stop here!
Mkuu Zawadin, kuna tofauti kati ya mtafiti, mchambuzi na mtazamaji.Kwanza mimi sio mwanachama wa CHADEMA. Kanuni za uchambuzi, hasa inapokuja suala la prediction, mchambuzi anatakiwa aseme maneno ambayo mtu mwengine anaweza kusema hapana, yaani falsification. Hili umepatia. Lkn prediction hiyo lazima itokane na masuala ya kweli (real/true). Kwa bahati mbaya hapa siku zote huwa unakosea. Inakuwa vigumu mtu kukuelewa na hoja zako kwa mazingira ya sasa ya kisiasa. Hebu jitahidi unapofanya uchambuzi uwe sober na impartial. Inapendeza mtu anaposoma uchambuzi ambao umefuata kanuni; vinginevyo unakuwa chapwa.
Z
Angalia tumewashauri nini Chadema since time immemorial soma tarehe ya bandiko uangalie tulishauri niniNajionea porojo tu ungekuja na hiyo namna ya kujipanga ningekuelewa otherwise naona unafiki tu na kujikosha..
Hapa ndio nilipopasemea. Unaposema ni ukweli unatakiwa uwe mkweli. Hivi katika mazingira ya siasa za leo unaweza kusema chama cha upinzani hakijajipanga wakati hakuna mazingira wezeshi ya kufanya hivyo? Mkuu hivi sasa vyama vya upinzani, kwa mawazo yako, vinawezaje kujipanga wakati vimefungwa miguu na mikono? Sitarajii katika siasa za kistaarabu vyama vianzishe vurugu. Kama hiyo si njia sahihi, na kwa sasa labda wafanye hivyo, basi havina namna ya kujipanga; na kwa hili hawastahili lawama.Hii issue niliyoizungumza humu ni ukweli mtupu, nothing but the truth with objectivity, impartiality na balance. Siegemei upande wowote.
Mayalla ndo shida ya humu JF wadau wanafurai kuitukana Serikali tu lakini ukiandika ukweli kuhusu mapungufu ya Upinzani basi ni kuambulia matusi tu,Upinzani Nchini bado upo kwenye mkwamo wa masafa marefuMkuu Zawadin, kuna tofauti kati ya mtafiti, mchambuzi na mtazamaji.
Mtafiti ni researcher, huyu ndiye anatakiwa kufanya utafiti wa kisayansi, research na ndie anayetakiwa kutumia kanuni za scientific research zikiwemo
plausible major and minor to reach a logical conclusion that can be based on a well founded "major and minor". Mimi sio mtafiti.
Mchambuzi ni mtu yoyote mbobezi kwenye neno husika hivyo anafanya uchambuzi wa kisomi na ki weledi kutokana na elimu na long experience ya uzoefu wa muda mrefu. Mimi sio mchambuzi.
Mimi ni mtazamaji tuu wa hii game of politics na kuripoti kile ninachokiona, hivyo sifanyi predictions bali natoa trends za kile ninachokiona kufuatia observation yangu kwenye issue husika.
Hii issue niliyoizungumza humu ni ukweli mtupu, nothing but the truth with objectivity, impartiality na balance. Siegemei upande wowote.
P
Wew na Mayalla sijui malaya P mlitakiwa muwepo siku ile pale msamvu Dadeek yaaniHapa ndio nilipopasemea. Unaposema ni ukweli unatakiwa uwe mkweli. Hivi katika mazingira ya siasa za leo unaweza kusema chama cha upinzani hakijajipanga wakati hakuna mazingira wezeshi ya kufanya hivyo? Mkuu hivi sasa vyama vya upinzani, kwa mawazo yako, vinawezaje kujipanga wakati vimefungwa miguu na mikono? Sitarajii katika siasa za kistaarabu vyama vianzishe vurugu. Kama hiyo si njia sahihi, na kwa sasa labda wafanye hivyo, basi havina namna ya kujipanga; na kwa hili hawastahili lawama.
Moja kati ya matatizo yetu watanzania ni kuongea nje ya uhalisia wa maisha yetu ya kila sikuKuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Hakuna kitu ambacho hawakukijua.Hapa ndio nilipopasemea. Unaposema ni ukweli unatakiwa uwe mkweli. Hivi katika mazingira ya siasa za leo unaweza kusema chama cha upinzani hakijajipanga wakati hakuna mazingira wezeshi ya kufanya hivyo? Mkuu hivi sasa vyama vya upinzani, kwa mawazo yako, vinawezaje kujipanga wakati vimefungwa miguu na mikono? Sitarajii katika siasa za kistaarabu vyama vianzishe vurugu. Kama hiyo si njia sahihi, na kwa sasa labda wafanye hivyo, basi havina namna ya kujipanga; na kwa hili hawastahili lawama.
Endelea kutafuta kiki kwa dua la kuku.Wew na Mayalla sijui malaya P mlitakiwa muwepo siku ile pale msamvu Dadeek yaani
Mayalla umefeli
unashauri tupigane ?Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Unaweza kukumbuka niliitwa lini Bungeni na ukalinganisha na hoja za bandiko hili?.mayala mbona umebadilika sana baada ya kuitwa bungeni?