Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #121
Hata hili la Nasari, ni muendelezo tuu wa kutokujipanga.
P
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka uchaguzi wa 2015 hawa jamaa walitoka wako exhausted na hakuna aliye na nguvu ya kurudi ulingoni zaidi ya kutapatapa,Hata hili la Nasari, ni muendelezo tuu wa kutokujipanga.
P
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa.

Mkuu Wa Kusoma, ukiwa na donge, ukitukana donge linaisha, please be free kunitukana utakavyo, if it will make you happy, ila please usinitukanie ukoo wangu, nileyekuudhi ni mimi, nitukane mimi, usiwatukane innocent victims kwa makosa yangu. Please.Naaandika nafuta..naaandika nafuta natamani sana nikitukane tusi kubwa sanaaa naogopa ban Itoshe tu Kusema nimekutukana sana kimoyo moyo wewe na Ukoo wenu wote
Asante.Pumbavu kabisa
Hata mimi mekutukana aisee mshenzi kabisa wewe. Mnakaa kujikomba komba kuvizia teuzi za kujipendekeza.Nani aliyekwambia demokrasia inapiganiwa kwa njia ya kushiriki uchaguzi wa kifala fala tuu.Mkuu Wa Kusoma, ukiwa na donge, ukitukana donge linaisha, please be free kunitukana utakavyo, if it will make you happy, ila please usinitukanie ukoo wangu, nileyekuudhi ni mimi, nitukane mimi, usiwatukane innocent victims kwa makosa yangu. Please.
P
Acheni kujisumbua na hawa watu, bora mkazane na elimu ya uraia italipa siku moja kuliko hawa watuKuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Sasa katika hili wangejipangaje?Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Kuwa makini na unachoandika ndugu utagharimikamuda huo ukifika utawaona tuu ila jina litabadilika hawatakua tena chadema bali waasi
Mkuu muulize jiwe kwanini anaogopa upinzani,ukipata jibu nistueKuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Sijui Mnapoandikaga Hata Huwa Mnaziwazia Familia Zenu, I Mean Watoto Wako Na Wajukuuu Wataishije Kama Watu Wakijua Hapo Mbeleni Wewe Ni Mmoja Wa Maafa Yatakayotokea??Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Sijui Mnapoandikaga Hata Huwa Mnaziwazia Familia Zenu, I Mean Watoto Wako Na Wajukuuu Wataishije Kama Watu Wakijua Hapo Mbeleni Wewe Ni Mmoja Wa Maafa Yatakayotokea??
Au Nyinyi Familia Zenu Zipo Kwa Trump?
Mpaka sasa naona chadema wapo ktk usingizi wa pono, 2020 hawatajipanga watapigwa tena, rejea pia uchaguzi mdogo , ktk kata 21 , wameshinda 1
DahKitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.
Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.
Pasco
Pasco
Kumbe haya mambo yalikuwepo toka zamani?Sidhani kama tatizo ni CHADEMA kutojipanga. Mi nadhani CCM na Rais hawako tayari kuachia madaraka kwa amani na ndiyo maana Rais akatoa amri kwa Green guards na tumeona ikitekelezwa Kalenga.
http://m.youtube.com/watch?v=xQi0PAy...e_gdata_player
Katika mazingira kama haya CHADEMA inabidi wajipange KUFA NA KUPONA? -Nilipoiangalia hii video nikajua umuhimu wa katiba itakayoruhusu Rais kushitakiwa kwa makosa ya makusudi aliyoyafanya akiwa Rais.