CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Tapeli la gesi ndani ya Nyumba!!!!! mabomba yamefika kinyerezi wewe tapeli tayari kuanza kutumia kama vipi jiue

Yani vitoto vya chadema banah vina hasara sana,sasa kushindwa kwenu kalenga na chalinze hasira uhamishie kwenye gesi yetu??

mbona mnakuwa kama chanuo??kazi zenu ni mbili tuh kuchanwa nywele na kusukwa nywelee..

Mmevurugwa sana
 
Wanabodi,

Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at all!, 2015 is just around the corner!, I'm afraid, by the time Chadema ita realize imefanya nini, ilipasw kufanya nini, sasa inafanya nini, na 2015 itafanya nini!, it will be too little too late!, huu ni ukweli mchungu sana kumeza,kuwa Chadema Haikujipanga (jana), Chadema Hijajipanga (leo), Chadema Haijipangi (kesho), na amini nawaambieni!, Chadema Haitajipanga (2015), hivyo huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza kuwa 2015, ni CCM Tena!.

Tangu 2010, Chadema Hamkujipanga!.
Mara Baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa 2010, uliofufua kwa kiwango kikubwa matumaini ya uwezekano wa Chadema kuchukua nchi, 2015, mimi ni miongoni mwa wana jf wa mwanzo kutinga viwanja vya Bunge Dodoma, kuwapongeza baadhi ya makamanda waliokata vigogo wa CCM!, nikatoa tathimini yangu kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Chadema imeshinda uchaguzi, sio kwa sababu ilijipanga vizuri!, no!, nikasema Chadema imeshinda uchaguzi katika baadhi ya maeneo kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!. hapa Chadema niliwaambia hivi

Hakuna ubishi kuhusu kitakachompata yoyote atakayeteta ukosoaji wa Chadema humu jukwaani, na mimi ndicho kilichonikuta, na miongoni mwa walionijibu uzi wangu huo, ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibrod Silaa, alinijibu hivi

Kiukweli baada ya jibu hili, mimi nikaishia kuwa mdogo tuu kama piriton, ukijumlisha na comments wa wengine, kwa kweli nilikuwa kama sisimizi!.

Hii maana yake ni nini, Chadema wakiambiwa hawasikii!, kwenye uzi huo, hoja kuu nilisema Chadema isiendelee kutegemea kutwaa majibo kwa sababu tuu CCM imechokwa!, ili Chadema ishinde kihalali very good clear and sweet victory, ni pale wananchi wanapokuwa wamehasika na kufanya informed decision kuwa tunaichagua Chadema kwa sababu hizi, hizi na hizi, hivyo Chadema lazima ije na mkakati, itafanya nini kinyume cha kinachofanywa na serikali ya CCM!.

CCM Imechokwa:
Kwenye uzi huo nilisema CCM imekuwa ikishda chaguzi mbalimbali sio kwa sababu inapendwa sana!, no way, nilisema CCM imekuwa ikishinda chaguzi nyingi kutokana na mazoea, huku iki take advantage ya ignorance ya Watanzania, hawana chagua kwa "choice" ya kushindanisha sera, wanachagua kwa "shibe" ya leo!, yeyote atakayekushibisha leo, huyo ndie!, hata kama atakulaza tena njaa miaka mitano ijayo, na ikifika, kama kawaida atarudi tena na T-shirt na kofia na ile shibe ya siku moja!, tutaichagua tena!, kama sio ignorance ni nini?!.

Kwenye uzi huo nilipendekeza dawa ya kuitibu CCM iliyochokwa kama ifuatavyo

Hakuna mwana CCM yoyote aliyekanusha kuchokwa kwa CCM, lakini haukupita muda, hiyo dose niliyoipendekeza ilidungwa CCM!, wala sijitambi kuwa CCM inafuatilia jf, au ndio chanzo cha mabadiliko hayo chanya, ukiona mbeba pakacha linavunja, ukamshtua mbebaji kuwa pakacha linavuja, akasimama kivulini na kuliziba kisha akaendelea na safari yake!, wewe unaweza kujiaminisha kuwa nimemsaidia yule mbeba paka kumtaarifu kuvuja kwa pakacha lake!, kumbe ukweli ni kuwa mbemba pakacha ulijua pakacha linavuja lakini akapanga ngoja afike kivulini ndipo alitue kuliba na kupumzika kidogo!, hivyo useme usisema mabadiliko yangekuja!.

Kufuatia mabadiliko ya sasa ya CCM, 2015, Chadema isitegemee majimbo ya ubwete wa CCM chovu, na tena isipokuwa makini na baadhi ya wabunge wake haswa wale "vichaa!", CCM inaweza kuwapokonya, only save kwa baadhi ya maeneo ambayo machalii wa kipande hiyo, vichaa ndio huwa machaguo yao,hivyo kwa kadri unavyozidi kuwa kichaa ndivyo unavyozidi kupendwa na kukubalika!.

Uso kwa Uso na Dr. Slaa!.
Niliwahi kwenda ofisini kwa Dr. Slaa for official visit, wakati huo nikiwa utumwani kwenye utumwa fulani, hivyo unapokuwa mtumwa, ukitumwa mahali, unawakilisha kile ulichotumwa na bwana wako aliyekutuma, hivyo sijihesabu kama mimi nilionana na Dr. Slaa!.

Siku tulionana rasmi na kwa nafasi, ni pale tulipokutana tuu mahali, sote tukiwa safarini, tukatokea kujipumzisha mahali na kupata mlo, hivyo kukutana kwa bahati!.

Kwa vile mimi ni mwandishi, kwanza nilimkabili, na kuamsalimia huku nikitanguliza kuomba radhi, maana mahali hapo ni privacy ya mtu, na watu wako na watu wao, hivyo mwandishi kupenyeza penyeza pua its uncalled for!, ila nikakaribishwa!.

Nakumbuka vuzuri nilimweleza resevations zangu kwa "Chadema kutokujipanga" na haswa kuhusu utaratibu wake wa kupata wagombea!.
Nilisema nimenote wengi wa wagombea wao, ni wagombea sadakalawe!, baada ya kukosa kwenye ile sadalawe ya kule, then hukimbilia huku na ndivyo Dr. alivyoingia Chadema. Nikasema huwezi kushinda uchaguzi na kushika dola kama hauna able people behind!. Nikashauri, kama kweli Chadema kina nia ya dhati ya kushika dola 2015, hakiwezi kushika dola kwa kuwategemea wagombea wanaopatikana kwa game of chance!. Lazima Chadema ifanye "head hunting" na ikikosa "able people", ifanye hata grooming kabla na sio kusubiria "makapi" ya CCM!. Kusema ukweli, alinieleza a very fine na promising strategies, ikiwemo msimamo wake binafsi kuhusu kugombea tena urais 2015!, hivyo mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanaujua msimamo wa Dr. Slaa kwenye kugombea urais 2015 from horsed mouth!. (Naomba nisiutaje humu kwa sababu mazungumzo yetu yalikuwa informal hivyo ni off the record).

Chadema Haijajipanga!.
Matokeo mabaya Chadema katika baadhi ya chaguzi ndogo za ubunge na udiwani, ni uthibitisho kuwa Chadema bado haijajipanga!. Hata ushindi wa Chadema Arumeru kwa kijana Nasari, umechangiwa na support ya vita vya CCM ndani kwa ndani kulikomoa chaguo la yule "jamaa yangu". Kama wengi mtakuwa na maswali, Chadema ijipange kwenye nini, mnaweza kunitembelea hapa nimeeleza kila kitu!.

Chadema Hamjipangi!.
Hata baada ya kipigo kitakatifu cha Kalenga, kuna kitu nimewashauri Chadema kuhusu uchaguzi wa Jimbo la Chalinze!, ili Chadema kujionyesha chenyewe ni kidume, au kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, bado itang'ang'ana na kuendelea kutumbukiza pua Chalinze!, angalau kwa Kalenga picha ilikuwa haisomeki sana!, Chalinze ndio maeneo ya strong hold ya wale vobonde niliowazungumzia kule ambao ndio mtaji wa CCM!.

Uchaguzi kama vita!, ukijijua huwezi kushinda, ule msemo wa "no retreat, no surrender" wa "ku
pigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike!" huo ndio huo unaitwa "ushujaa!" alikufa vitani akiipigania nchi yeke!, mkiisha malizika wote, adui atapata walk over victory kuitwaa nchi yenu yote kugeuka mateka!. Wapiganaji makini ni wale wakishajipima na kujiona hawawezi, hurudisha majeshi nyuma (retreat) na kujipanga upya!.
Chadema wakikubali ku retreat na kujipanga upya, wata boost kidogo morali ya wapiganaji wake, kiliko kuendelea kupeleka vikosi vyake vitani na kuishia kuwa wiped!.

Na Kwa 2015!, Chadema Haitajipanga!.
Kwa maoni yangu, Bunge hili Maalum, likifuatiwa na kikao cha Bunge, then kura ya maoni, then uchaguzi wa serikali za mitaa!, then uchaguzi wa ndani wa Chadema (uongozi uliopo madarakani kwa mujibu wa katiba ya Chadema, umalizika mwaka huu baada ya kuuongezea mwaka mmoja!, katiba ya Chadema haikutoa any possibility ya extra extension, japo uongozi wa Chadema unaweza kumuandikia Msajili na kulitaja Bunge Maalum ni "force majeure" hivyo kutofanya uchaguzi wake wa ndani kihalali kabisa!". Ndipo ufuate uchaguzi mkuu, huku kuna ile pending case!!. Kikweli kabisa, my honest opinion, kwa time iliyobakia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015, mambo yaliyopo mbele ya Chadema ni too much! kwa Chadema kujipanga and the time is too little too late!, hivyo naiona wazi kabisa CCM ikirudi kujichukulia nchi kama imeokota!.

Hitimisho: Chadema na "Karma!"
Namalizia kwa kusisitiza, Chadema zingatieni sana hii kitu inaitwa "Karma", msiidharau kabisa!, karma is real!.
Do the right thing or else!.

Poleni kwa ya Kalenga!.

Jipangeni

Pasco
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!, bali ni mtazamaji mzuri tuu wa hii game la siasa kazi yake ikiwa kutazama tuu!, na kueleza, na kutoa ushauri wa bure!.
Nafanya tuu tafakuri ya haya, maana 2015 ndio hii na mambo yenyewe ndio haya!.

Ki msingi maoni yako ni ya msingi na hakika yanatakiwa kuheshimiwa. Nimepata shida sana kufuatilia uchambuzi wako kwa kuchanganya lugha za kishwahili na kiingerza bila sababu za msingi sana. Na kwa bahati mbaya hata nukuu yako iliyoonyesha ilitolewa na Dr. Slaa, ilikuwa na kasoro hizohizo. Tujitahindi kuandika kishwahili japo kutakuwepo kasoro ya hapa na pale.

Kwa maoni yangu; kama CHADEMA haijajipanga, CCM imeendelea kujiharibia kiasi kwamba thamani ya CCM mwaka 2010 ni kubwa kuliko ilivyo sasa hivi. Kwa sasa imeshuka sana, walisalia na mtu mmoja makini sana , Dr Harison Mwakyembe na sasa wanfanya jitihada kubwa sana kuonyesha sio chochote na si lolote. Ni mwizi kama wengine. Sasa ni nani atawaokoa. CHADEMA heshima yake imezidi kupanda hata kama si kwa viwango vya juu sana.
 
Uko sawa mkuu! Watz wanayaona Manyago yanayofanya Cdm.
 
Pasco rafiki! Nimekupenda kama msemakweli na mpenzi wa Mungu. Lakini nimejitahidikukusoma kwa hii mistari uliyotupa bado sijaona kama wewe ni msaada kwa waTZ. Maana nakuona wewe ni mtupu kabisa kwa uchungu wa rasilimali za nchi hii kufaidiwa na wachache na famili zao. Nigekusifu kama ungewapa matumaini waTZ ya kuangalia upya mfumo wa siasa za Tanzania na ungejenga hoja za kuwasaidia kujitambua na kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha chama nakutoa mapendekezo kwa CHADEMA ya namna ya kukijenga chama ili ikpate wanachama wengi zaidi ya kukifikisha kuchukua dola hata ikiwezekana 2015.
 
Nafanya mapitio nilisema nini lini, leo ni lini na kwa muda uliobakia hadi October, nini kinaweza kufanyika!.

Mkuu kweli uliona mbali sana!! ACT Tuko pamojaaaaaaaaa!
 
Pasco hivi unajua kwa jinsi watanzania walivyo Choka na ccm chochote chaweza tokea na dunia ikashanga sana..na ccm wakashanga sana nn kimetokea na usitoe uchambuzi kuhusu Chadema kuwa awajajipanga labda uwazungumzie watanzania kuwa awajajipanga lakini siyo Chadema.
 
Hawa jamaa ndio imekula kwao tayari.Baada ya 2015 watabakia kwenye historia kwa kuwa wabunge pekee waliolala sero mara nyingi kuliko hata majambazi

Wewe ndio sifuri kabisa.....kulala sero sio issue katika siasa za kiafrika....... More than half of the leadership of ANC spent half their lives either running on in jail.....plastic brains you got there
 
Sidhani kama tatizo ni CHADEMA kutojipanga. Mi nadhani CCM na Rais hawako tayari kuachia madaraka kwa amani na ndiyo maana Rais akatoa amri kwa Green guards na tumeona ikitekelezwa Kalenga.
http://m.youtube.com/watch?v=xQi0PAy...e_gdata_player

Katika mazingira kama haya CHADEMA inabidi wajipange KUFA NA KUPONA? -Nilipoiangalia hii video nikajua umuhimu wa katiba itakayoruhusu Rais kushitakiwa kwa makosa ya makusudi aliyoyafanya akiwa Rais.

Mkuu huoni kwamba unaegemea shemu moja tu? maranyingi chadema wamekuwa vinara wa kuanzisha vurugu. zipo baadhi ya sehemu hapa nchini zinajulikana kwa vurugu za CDM, vurugu zote zinazotokea kwenye mikutano ya CMD zina chochewa na kauli tata za vongozi wao, ambapo polisi inapotaka kutuliza vurugu hizo ndio inapelekea maafa hata kwa wasio husika
 
Wanabodi,

Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at all!, 2015 is just around the corner!, I'm afraid, by the time Chadema ita realize imefanya nini, ilipasw kufanya nini, sasa inafanya nini, na 2015 itafanya nini!, it will be too little too late!, huu ni ukweli mchungu sana kumeza,kuwa Chadema Haikujipanga (jana), Chadema Hijajipanga (leo), Chadema Haijipangi (kesho), na amini nawaambieni!, Chadema Haitajipanga (2015), hivyo huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza kuwa 2015, ni CCM Tena!.

Chadema Hamjipangi!.
Uchaguzi kama vita!, ukijijua huwezi kushinda, ule msemo wa "no retreat, no surrender" wa "ku
pigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike!" huo ndio huo unaitwa "ushujaa!" alikufa vitani akiipigania nchi yeke!, mkiisha malizika wote, adui atapata walk over victory kuitwaa nchi yenu yote kugeuka mateka!. Wapiganaji makini ni wale wakishajipima na kujiona hawawezi, hurudisha majeshi nyuma (retreat) na kujipanga upya!.
Chadema wakikubali ku retreat na kujipanga upya, wata boost kidogo morali ya wapiganaji wake, kiliko kuendelea kupeleka vikosi vyake vitani na kuishia kuwa wiped!.

Hitimisho: Chadema na "Karma!"
Namalizia kwa kusisitiza, Chadema zingatieni sana hii kitu inaitwa "Karma", msiidharau kabisa!, karma is real!.
Do the right thing or else!.

Jipangeni

Pasco
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!, bali ni mtazamaji mzuri tuu wa hii game la siasa kazi yake ikiwa kutazama tuu!, na kueleza, na kutoa ushauri wa bure!.
Kitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.

Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.

Pasco
Pasco
 
Mm hyo hedingi yko nimeipenda sana tena sana ukweli hapo ndo huo mkuu ila ukisema ukweli wanaanza kuongea kugha mbaya humu mlijipanga lakin kwa hli mmepoteza
 
Kitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.

Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.

Pasco
Pasco

Subiri waje wabishi

Haaahaaa
Potelea mbali bora kura Yangu nimpe el nje ya ccm
 
Kitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.

Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.

Pasco
Pasco

Pasco, hatimaye umeamua kukana maneno yako uliyoyatoa baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM, nakumbuka ulisema sasa Lowasa asihangaike kutoka CCM kwani magufuli ni Jembe. Lkn naona sasa umekuja kugundua kwamba Lowasa ndiyo habari ya mjini, kwani Pombe hasikiki tena.

Ni kweli UKAWA watashinda URAIS na wabunge wengi sana. Wewe subiri Oktoba.
 
Wanabodi,

Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko, akiangalia hii trend ya Chadema inayokwenda nayo sasa, atakubaliana na mimi, kuwa the trend is not good at all!, 2015 is just around the corner!, I'm afraid, by the time Chadema ita realize imefanya nini, ilipasw kufanya nini, sasa inafanya nini, na 2015 itafanya nini!, it will be too little too late!, huu ni ukweli mchungu sana kumeza,kuwa Chadema Haikujipanga (jana), Chadema Hijajipanga (leo), Chadema Haijipangi (kesho), na amini nawaambieni!, Chadema Haitajipanga (2015), hivyo huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza kuwa 2015, ni CCM Tena!.

Tangu 2010, Chadema Hamkujipanga!.
Mara Baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa 2010, uliofufua kwa kiwango kikubwa matumaini ya uwezekano wa Chadema kuchukua nchi, 2015, mimi ni miongoni mwa wana jf wa mwanzo kutinga viwanja vya Bunge Dodoma, kuwapongeza baadhi ya makamanda waliokata vigogo wa CCM!, nikatoa tathimini yangu kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Chadema imeshinda uchaguzi, sio kwa sababu ilijipanga vizuri!, no!, nikasema Chadema imeshinda uchaguzi katika baadhi ya maeneo kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!. hapa Chadema niliwaambia hivi

Hakuna ubishi kuhusu kitakachompata yoyote atakayeteta ukosoaji wa Chadema humu jukwaani, na mimi ndicho kilichonikuta, na miongoni mwa walionijibu uzi wangu huo, ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wibrod Silaa, alinijibu hivi

Kiukweli baada ya jibu hili, mimi nikaishia kuwa mdogo tuu kama piriton, ukijumlisha na comments wa wengine, kwa kweli nilikuwa kama sisimizi!.

Hii maana yake ni nini, Chadema wakiambiwa hawasikii!, kwenye uzi huo, hoja kuu nilisema Chadema isiendelee kutegemea kutwaa majibo kwa sababu tuu CCM imechokwa!, ili Chadema ishinde kihalali very good clear and sweet victory, ni pale wananchi wanapokuwa wamehasika na kufanya informed decision kuwa tunaichagua Chadema kwa sababu hizi, hizi na hizi, hivyo Chadema lazima ije na mkakati, itafanya nini kinyume cha kinachofanywa na serikali ya CCM!.

CCM Imechokwa:
Kwenye uzi huo nilisema CCM imekuwa ikishda chaguzi mbalimbali sio kwa sababu inapendwa sana!, no way, nilisema CCM imekuwa ikishinda chaguzi nyingi kutokana na mazoea, huku iki take advantage ya ignorance ya Watanzania, hawana chagua kwa "choice" ya kushindanisha sera, wanachagua kwa "shibe" ya leo!, yeyote atakayekushibisha leo, huyo ndie!, hata kama atakulaza tena njaa miaka mitano ijayo, na ikifika, kama kawaida atarudi tena na T-shirt na kofia na ile shibe ya siku moja!, tutaichagua tena!, kama sio ignorance ni nini?!.

Kwenye uzi huo nilipendekeza dawa ya kuitibu CCM iliyochokwa kama ifuatavyo

Hakuna mwana CCM yoyote aliyekanusha kuchokwa kwa CCM, lakini haukupita muda, hiyo dose niliyoipendekeza ilidungwa CCM!, wala sijitambi kuwa CCM inafuatilia jf, au ndio chanzo cha mabadiliko hayo chanya, ukiona mbeba pakacha linavunja, ukamshtua mbebaji kuwa pakacha linavuja, akasimama kivulini na kuliziba kisha akaendelea na safari yake!, wewe unaweza kujiaminisha kuwa nimemsaidia yule mbeba paka kumtaarifu kuvuja kwa pakacha lake!, kumbe ukweli ni kuwa mbemba pakacha ulijua pakacha linavuja lakini akapanga ngoja afike kivulini ndipo alitue kuliba na kupumzika kidogo!, hivyo useme usisema mabadiliko yangekuja!.

Kufuatia mabadiliko ya sasa ya CCM, 2015, Chadema isitegemee majimbo ya ubwete wa CCM chovu, na tena isipokuwa makini na baadhi ya wabunge wake haswa wale "vichaa!", CCM inaweza kuwapokonya, only save kwa baadhi ya maeneo ambayo machalii wa kipande hiyo, vichaa ndio huwa machaguo yao,hivyo kwa kadri unavyozidi kuwa kichaa ndivyo unavyozidi kupendwa na kukubalika!.

Uso kwa Uso na Dr. Slaa!.
Niliwahi kwenda ofisini kwa Dr. Slaa for official visit, wakati huo nikiwa utumwani kwenye utumwa fulani, hivyo unapokuwa mtumwa, ukitumwa mahali, unawakilisha kile ulichotumwa na bwana wako aliyekutuma, hivyo sijihesabu kama mimi nilionana na Dr. Slaa!.

Siku tulionana rasmi na kwa nafasi, ni pale tulipokutana tuu mahali, sote tukiwa safarini, tukatokea kujipumzisha mahali na kupata mlo, hivyo kukutana kwa bahati!.

Kwa vile mimi ni mwandishi, kwanza nilimkabili, na kuamsalimia huku nikitanguliza kuomba radhi, maana mahali hapo ni privacy ya mtu, na watu wako na watu wao, hivyo mwandishi kupenyeza penyeza pua its uncalled for!, ila nikakaribishwa!.

Nakumbuka vuzuri nilimweleza resevations zangu kwa "Chadema kutokujipanga" na haswa kuhusu utaratibu wake wa kupata wagombea!.
Nilisema nimenote wengi wa wagombea wao, ni wagombea sadakalawe!, baada ya kukosa kwenye ile sadalawe ya kule, then hukimbilia huku na ndivyo Dr. alivyoingia Chadema. Nikasema huwezi kushinda uchaguzi na kushika dola kama hauna able people behind!. Nikashauri, kama kweli Chadema kina nia ya dhati ya kushika dola 2015, hakiwezi kushika dola kwa kuwategemea wagombea wanaopatikana kwa game of chance!. Lazima Chadema ifanye "head hunting" na ikikosa "able people", ifanye hata grooming kabla na sio kusubiria "makapi" ya CCM!. Kusema ukweli, alinieleza a very fine na promising strategies, ikiwemo msimamo wake binafsi kuhusu kugombea tena urais 2015!, hivyo mimi ni mmoja wa watu wachache sana wanaujua msimamo wa Dr. Slaa kwenye kugombea urais 2015 from horsed mouth!. (Naomba nisiutaje humu kwa sababu mazungumzo yetu yalikuwa informal hivyo ni off the record).

Chadema Haijajipanga!.
Matokeo mabaya Chadema katika baadhi ya chaguzi ndogo za ubunge na udiwani, ni uthibitisho kuwa Chadema bado haijajipanga!. Hata ushindi wa Chadema Arumeru kwa kijana Nasari, umechangiwa na support ya vita vya CCM ndani kwa ndani kulikomoa chaguo la yule "jamaa yangu". Kama wengi mtakuwa na maswali, Chadema ijipange kwenye nini, mnaweza kunitembelea hapa nimeeleza kila kitu!.

Chadema Hamjipangi!.
Hata baada ya kipigo kitakatifu cha Kalenga, kuna kitu nimewashauri Chadema kuhusu uchaguzi wa Jimbo la Chalinze!, ili Chadema kujionyesha chenyewe ni kidume, au kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, bado itang'ang'ana na kuendelea kutumbukiza pua Chalinze!, angalau kwa Kalenga picha ilikuwa haisomeki sana!, Chalinze ndio maeneo ya strong hold ya wale vobonde niliowazungumzia kule ambao ndio mtaji wa CCM!.

Uchaguzi kama vita!, ukijijua huwezi kushinda, ule msemo wa "no retreat, no surrender" wa "ku
pigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike!" huo ndio huo unaitwa "ushujaa!" alikufa vitani akiipigania nchi yeke!, mkiisha malizika wote, adui atapata walk over victory kuitwaa nchi yenu yote kugeuka mateka!. Wapiganaji makini ni wale wakishajipima na kujiona hawawezi, hurudisha majeshi nyuma (retreat) na kujipanga upya!.
Chadema wakikubali ku retreat na kujipanga upya, wata boost kidogo morali ya wapiganaji wake, kiliko kuendelea kupeleka vikosi vyake vitani na kuishia kuwa wiped!.

Na Kwa 2015!, Chadema Haitajipanga!.
Kwa maoni yangu, Bunge hili Maalum, likifuatiwa na kikao cha Bunge, then kura ya maoni, then uchaguzi wa serikali za mitaa!, then uchaguzi wa ndani wa Chadema (uongozi uliopo madarakani kwa mujibu wa katiba ya Chadema, umalizika mwaka huu baada ya kuuongezea mwaka mmoja!, katiba ya Chadema haikutoa any possibility ya extra extension, japo uongozi wa Chadema unaweza kumuandikia Msajili na kulitaja Bunge Maalum ni "force majeure" hivyo kutofanya uchaguzi wake wa ndani kihalali kabisa!". Ndipo ufuate uchaguzi mkuu, huku kuna ile pending case!!. Kikweli kabisa, my honest opinion, kwa time iliyobakia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015, mambo yaliyopo mbele ya Chadema ni too much! kwa Chadema kujipanga and the time is too little too late!, hivyo naiona wazi kabisa CCM ikirudi kujichukulia nchi kama imeokota!.

Hitimisho: Chadema na "Karma!"
Namalizia kwa kusisitiza, Chadema zingatieni sana hii kitu inaitwa "Karma", msiidharau kabisa!, karma is real!.
Do the right thing or else!.

Poleni kwa ya Kalenga!.

Jipangeni

Pasco
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!, bali ni mtazamaji mzuri tuu wa hii game la siasa kazi yake ikiwa kutazama tuu!, na kueleza, na kutoa ushauri wa bure!.

Yametimia mkuu Pasco...
 
wewe unaishauri chadema kama nani?
 
Back
Top Bottom