Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadri siku zinavyozidi kusonga, chadema nayo inazidi kupukutika, wanachama wanaikimbia, mashabiki wanaikimbia, wananchi wanaisusia. Inabakibkatika kaeneo kadogo cha arusha mjini na moshi mjini. Yamesemwa mengi kuwa hii ni saccos, nk lakini mimi nasema hiki chama cha kaskazini

Nani kakufundisha kusema uongo? hujui kuna siku ya mwisho na kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake. kwanini unajipa makosa yasio kuwa na faida nawewe? kaachini tafakari, bora uuze unga unapata faida kuliko uzushi usio na maana. aksanteKadri siku zinavyozidi kusonga, chadema nayo inazidi kupukutika, wanachama wanaikimbia, mashabiki wanaikimbia, wananchi wanaisusia. Inabakibkatika kaeneo kadogo cha arusha mjini na moshi mjini. Yamesemwa mengi kuwa hii ni saccos, nk lakini mimi nasema hiki chama cha kaskazini
Hatima yao ni Mwenyekiti atoke nje ya Kanda ya Kaskazini, la sivyo...........
upo dunia ipi? njoo mwanza uione cdm inavyokubarika! Tangazeni uchaguzi mdogo kata iliyoachwa na jambazi mabina muione cdm!