CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!

Tatizo wamajipanga tofauti kimtazamo kwanza kwa malengo binafsi sio ya wanachama pili vikundi vya wachache waliojiaminisha kidogo kinachopatikana wale wao tu. Kwa hali hiyo bado safari ya angani itakua kama boing 737 max 8....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
 
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa.
P

Naaandika nafuta..naaandika nafuta natamani sana nikitukane tusi kubwa sanaaa naogopa ban Itoshe tu Kusema nimekutukana sana kimoyo moyo wewe na Ukoo wenu wote
 
nadhani unamaanisha waingie msituni! muda bado wa kuingia msituni!

lakn kama ni kwenye uwanja wa siasa utakua unawakosea! maana inatakiwa wakate rufaa, rufaa hizo wanampelekea aliye waengua na pia baada ya kueleka rufaa zao kawaengia na rufaa zao sasa unataka wapambane kivip!?

nadhani una maanisha msituni! muda huo ukifika utawaona tuu ila jina litabadilika hawatakua tena chadema bali waasi. na wakiwa na nguvu ndoo watapewa nafas ya kukaa na chama tawala mezani baada ya maumivu ya pande mbili. ila kwa sasa ccm hawana maumivu means hawana sababu ya kukaa mezani.

kanuni ya amani ni moja, amani inapatikana baada ya vita! na vita humalizwa na vita.
 
Naaandika nafuta..naaandika nafuta natamani sana nikitukane tusi kubwa sanaaa naogopa ban Itoshe tu Kusema nimekutukana sana kimoyo moyo wewe na Ukoo wenu wote
Mkuu Wa Kusoma, ukiwa na donge, ukitukana donge linaisha, please be free kunitukana utakavyo, if it will make you happy, ila please usinitukanie ukoo wangu, nileyekuudhi ni mimi, nitukane mimi, usiwatukane innocent victims kwa makosa yangu. Please.

Hata mimi mekutukana aisee mshenzi kabisa wewe. Mnakaa kujikomba komba kuvizia teuzi za kujipendekeza.Nani aliyekwambia demokrasia inapiganiwa kwa njia ya kushiriki uchaguzi wa kifala fala tuu.

Chadema imeshiriki chaguzi Nyingi mpka leo na kuna watu wengi wameumia kuteswa kupigwa na kufungwa bila sababu. Una maslahi gani kulazimisha Chadema washiriki uchaguzi huu? Sisi wananchi hata Chadema wangeshiriki tusinge enda kupiga kura na kupoteza muda wetu.

Sisi raia wa Tanzania wazalendo kamwe hatuta ruhusu Mpumbavu yeyote awe anatoka CCM au upinzani kutuchagulia na kupola haki yetu ya kuchagua viongozi tunao wataka.

Uhuru wetu unathamani kubwa kuliko vyama vya siasa.Kama tuliweza kusaidia mataifa mengine kudai haki na uhuru wao hatuwezi kushindwa kujipigania haki zetu wenyewe.
 
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Acheni kujisumbua na hawa watu, bora mkazane na elimu ya uraia italipa siku moja kuliko hawa watu
 
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Sasa katika hili wangejipangaje?

Wakodi "Marefa" au wawaandalie "karamu" yakuwapa maelekezo jinsi ya kuchezesha mchezo?

Tuache kuwaonea hao wapinzani kwa kuwasingizia eti "hawajajipanga".
 
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Mkuu muulize jiwe kwanini anaogopa upinzani,ukipata jibu nistue
tapatalk_1573154306273.jpeg
 
Kuna vitu tukisema kuhusu Chadema na mambo ya kutokujipanga, Chadema wanakasirika.
Kwa hiki kinachoendelea sasa kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, kiukweli hali itaendelea hivi hadi uchaguzi mkuu ujao.
Issue ni kujipanga na kupambana na sio kususa, siku zote haki huwa haombwi na kuletewa kwenye kisahani cha chai, haki inapiganiwa.
P
Sijui Mnapoandikaga Hata Huwa Mnaziwazia Familia Zenu, I Mean Watoto Wako Na Wajukuuu Wataishije Kama Watu Wakijua Hapo Mbeleni Wewe Ni Mmoja Wa Maafa Yatakayotokea??

Au Nyinyi Familia Zenu Zipo Kwa Trump?
 
You take it all wrong

Wewe ni mmoja wa wachawi ambae umeamua kwa makusudi kutomwelewa Mayala

Aliandika 2014, na yanajirudia simply kwa sababu ya kutofuata ushauri

Kufeli kunapotokea unapokumbushwa mmeangukia wapi una aamua kumnyamazisha kwa ku attack familia yake!!!..kuwa ukigusa familia yake atakaa kimya

his sons and daughters will look at him as a hero!!!

Mmeambiwa sana wapinzania, na most of the time mmeawachukia wanaowashauri...tena hata wale wanachama damu wa chadema walipotoa ushauri mkawaita wasaliti

Well mkabaki msio wasaliti

Kuwa na akili japo kidogo tu
 
Kitendo cha Chadema kukubali kumchukua Lowassa, huu ni uthibitisho Chadema imekuwa sikivu, imekubali kurudi nyuma na (retreat) kujipanga upya na kufanya shambulio moja kubwa, itatoa pigo kuu, pigo takatifu!, naomba kukiri for the first time kuwa 2015, UKAWA unatinga Ikulu ya Magogoni!.

Hongereni sana Chadema kwa kuwa wasikivu, na sasa Watanzania tunawazawadia Ikulu yetu ile ya Magogoni!.

Pasco
Pasco
Dah
 
Sidhani kama tatizo ni CHADEMA kutojipanga. Mi nadhani CCM na Rais hawako tayari kuachia madaraka kwa amani na ndiyo maana Rais akatoa amri kwa Green guards na tumeona ikitekelezwa Kalenga.
http://m.youtube.com/watch?v=xQi0PAy...e_gdata_player

Katika mazingira kama haya CHADEMA inabidi wajipange KUFA NA KUPONA? -Nilipoiangalia hii video nikajua umuhimu wa katiba itakayoruhusu Rais kushitakiwa kwa makosa ya makusudi aliyoyafanya akiwa Rais.
Kumbe haya mambo yalikuwepo toka zamani?
 
Back
Top Bottom