Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.
Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.
Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.
CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!
Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.
PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA