Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mbeleeeee kwa mbeleeee
We pimbi Ukifungua kitabu Cha biblia akiitwa kutoka, utakutana na story ya pharaoh na Wana wa IsraeliUkiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.
Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.
Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.
CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!
Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.
PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA