Pre GE2025 CHADEMA hamna uwezo wa kuifanya chochote CCM kwa namna yeyote ile

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini mashujaa hawa wa kwenye keyboard kwenye mitandao wanasema hatuogopi polisi na tutaandamana mwisho wa siku hawatokei barabarani

..CCM mnawaogopa Chadema ndio maana mnawatumia Polisi wenye silaha.

..Tumeni Polisi wakafanye midahalo na Chadema, sio kuwapiga virungu, na fimbo za umeme.

..Yeye Samia ana uwezo wa kuvumilia virungu, fimbo za umeme, na vipulizi vya pilipili?
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi..
Nje ya mbeleko ya vyombo vya dola nyie ni warembo tu. Na hiyo mbeleko ya dola itafika mwisho. Msiombe watu wakapata akili ya kushika silaha, au kuwekea sumu hao maofisa wa polisi na familia zao, mtafurahia show.
 
Labda Yanga na Simba zife.
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.

Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.

Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.

CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!

Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.

PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Lidude fulani kama linasaidiwa na vyombo vya ulinzi na usalama na pia kwa kuvunja katiba vitu ambavyo si vya kujivunia. CCM bila vyombo vya ulinzi ni teketeke kama mashoga ya Tanga
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.

Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.

Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.

CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!

Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.

PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Kama ccm ni imara kuliko chadema basi kilichotokea mbeya hakukuwa na ulazima wa kutokea
 
Ni kweli watanzania wanahitaji mabadiliko, lakin si cdm ilete mabadiliko huku Ina viongoz wa kudumu. Watanzania wanaelewa bwana!! Chama cha kuwakomboa watanzania kinakuja si cdm.
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.

Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.

Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.

CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!

Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.

PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEM
Wewe una saidiwa na vyombo vya ulinzi chadema utaiweza wapi?
Msigwa kaja juzi tu mmempa majukwa kwakuwa mmeishiwa pumzi hovyo wewe
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.
Sisi CHADEMA hatutaki kupimana UBAVU na mtu yeyote,tunachotaka ni WANANCHI waamue.
 
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi.

Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na biscuits kama vitoto vya chekechekea vile.

Ukweli ni kwamba kwa namna yeyote ile Chadema kwa CCM ni sawa na kitoto kinachonyonya kwa mama yake halafu kinaachishwa ziwa kinaanza kumpiga makofi kifuani mama yake kikidhani kinamuumiza.

CCM ni lidude fulani hatari ambalo mtoto Chadema HUNA CHA KULIFANYA HATA LIKIKUFANYA CHOCHOTE!

Mtaendelea kusumbua watu eti wawaonee huruma kwa kitu ambacho hamna uwezo wa kukifanya chochote.

PIA SOMA
- CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA
Kama chadema hawawezi basi mungu anaweza. Ipo siku majambazi ya kijani ya chama cha matapeli (CCM) yatatoka
 
Back
Top Bottom