Pre GE2025 CHADEMA hamna uwezo wa kuifanya chochote CCM kwa namna yeyote ile

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makaburu enzi za ubaguzi wa rangi, wamewahi bwata na tambo kama hizi. Muda unatabja ya kuhukumu kwa haki.
 
We pimbi Ukifungua kitabu Cha biblia akiitwa kutoka, utakutana na story ya pharaoh na Wana wa Israeli

Pharaoh aliamini ana nguvu nyingi kuliko mtu yoyote hivyo pamoja na miujiza ya Musa alikaidi kuwapa ruksa waisraeli

Kilichomkuta pharaoh ni historia mpaka Leo

Hizi story zipo kutufundisha na kutukumbusha tusiwe na viburi especially tunapo simamia haki za watu wengine tutakuja kujuta

Ipo siku ccm watajuia hii kiburibya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…