CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
a political hypcrate ni hatari sanaa lzma utupiliwe mbali, no matter ni mzuri kiasi gani
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Hivi unatambua maana ya neno "weledi" kwa jinsi ambavyo umelitumia?
Je! Ulitaka CDM ifanye maamuzi ya kuwafurahisha Mdee na Bulaya hata kama walikuwa na makosa!?
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Halima na demu wako bulaya si muanzishe chama chenu au mujiunge na chama cha ndugai, kelele za nini huku mitandaoni?
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Chadema ni chama Cha hovyo sana
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
😂😂😂😂😂
 
Ni kweli kabisaa.Tena wakianzisha Chadema itakufa
 
Namkubali sana Halima, lakin Kwa walichokifanya inatosha kusema wakae pembeni. Wamepewa nafasi wamekataa kuitumia kuomba radhi sina wakumlaumu Katika uongozi wa CHADEMA zaidi Yao wakina MDEE.
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Ndoto za alinacha pole, hata wao wanangangania CHADEMA maanawanajua wakiwa nje ya hapo hakuna kitu
 
Waambie basi wakaanzishe chama wawe wabunge. Ukiwa legelege hivyo kukubali makosa ya mwanao tu ksbb ana akili sana na darasani mwao anaongoza. Basi ipo siku atakuja na wazo la ajabu litakostua,kukuhuzunisha, kukufedhehesha na kukudharirisha. Lazima uwe na msimamo
 
CHADEMA mnadanganywa Sana.
Na hakika mnadanganywa.

Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee.

Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge.

Poleni,

life is hard, byee.
Maneno meeeeeengi, si waanzishe basi, wanangoja nini. Kujipa umuhimu wasio nao.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom