Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.
Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.
Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.