Hahahaha utakuwa umelewa dadiiiHuu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.
Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.
Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.

We kenge hiyo ID ni yako Matako wewe MATAGAMkuu hiyo ni ID tu isikupe shida!
DJ nani?Tarumbeta a.k.a misukule ya DJ
Mkuu mbona unanitukana?We kenge hiyo ID ni yako Matako wewe MATAGA
Sent by IPhone
Mwenye kiti wa Sacco'sDJ nani?
Ndio nani?Mwenye kiti wa Sacco's
MboweNdio nani?
Haya endelea kusumbua na Tecno yakoMbowe
Eti Mushi Masawe. Jamaa katengeneza ID ya Mushi Masawe juzi ili kuja kuleta utumbo wake .Eti Mushi Massawe. Acha propaganda za kifala mkuu. Kwasasa siasa ni corona.
Kwahio tukusaidiaje? Hakuna mtu mnafiki kama weweHuu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais Magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa Hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja Moshi.